Ukiachwa achika

Siku hizi tunawaachia wake zetu nyumba, hatutaki matatizo. Tena tunakuambia kabisa, kaa lea watoto hapa. Sisi ndio tunaondoka na kuanza life somwhr else.
Sikusema I do kwa nyumba, ukute watoto wamekua, mume anaondoka. Vyote maumivu.
 
Sikusema I do kwa nyumba, ukute watoto wamekua, mume anaondoka. Vyote maumivu.
At least unabakinna nyumba, huanzi from zero again. Imagine mtu anafukuzwa kwa nyumba, hana hata senti ya kuanza kupanga, maisha yanakuwa zaidi ya 'jiwe'!
 
At least unabakinna nyumba, huanzi from zero again. Imagine mtu anafukuzwa kwa nyumba, hana hata senti ya kuanza kupanga, maisha yanakuwa zaidi ya 'jiwe'!
Tena unarudishwa kwenu Ugweno alikokuchukua miaka 20 iliyopita.
 
Tena unarudishwa kwenu Ugweno alikokuchukua miaka 20 iliyopita.
Teh teh, majanga juu ya majanga!!

Ila so long kuna ku-fall in love, basi tujue kuna ku-fall out of love. Tujiandae kwa lolote, mapenzi/upendo hauna garantii.
 
Nimegundua kwa hii dunia yetu ya sasa idadi ya watu ambao hawajatendwa ni negligible.
 
The fact is, utaumia tu zeshchriss. Uzuri ni kwamba mapenzi hayana bingwa...
 
🙏🏾
 
na vipi amekukubalia upo naye na unakula mzigo kama kawaida,ila unakuta ni mtu ambaye anaiumiza akili yako hatulii tu nawewe pekee,na baadaye unagundua ana wapenzi wengine mpo kama wanne hivi. je ,hapo ni patience au wastage of time??
Wastage of resources not only time.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…