Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

And if you are told “I don’t want to dissapoint you”
actually u have been disappointed already but just give a time. if he really love u he will come to u again as long as he knows where to find u
 
Na hapo ndipo wengi wanaposhindwa kukubaliana na ukweli......hivi mtu anakwambia yuko busy miezi mitatu bado una imani tu!!!!!? Me na gubu langu ukinisumbua mwezi tu naachana na wewe.......mtu ambae sijui uchungu wako wala kitovu chako kilikotupwa sikujui ya nini nianze kuumia kisa wewe......ukiachwa achika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na vipi amekukubalia upo naye na unakula mzigo kama kawaida,ila unakuta ni mtu ambaye anaiumiza akili yako hatulii tu nawewe pekee,na baadaye unagundua ana wapenzi wengine mpo kama wanne hivi. je ,hapo ni patience au wastage of time??
 
Kwenye mapenzi ya kweli huwezi kuwa busy kiasi cha kutaka kumzidi shetani,kuna watu wanajua kujifanya wako busy jamanii basi tuone ghorofa unalojenga,hakuna..lakini mtu yuko biiiiizeee kha,itakuwa ni watoa roho watu wa hivyo asee,.lakini kama ww ni mtu mzima unajitambua huwezi kukubali kucheza madange ya baridi,mapema una move on,..muda hautoshi jamanii kuanza kubebembeleza watoto wenye nywele za kwapa,.
 
Mtu yuko busy kama anaweka viraka mbinguni ...busy gani hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mapenzi ya kweli huwezi kuwa busy kiasi cha kutaka kumzidi shetani,kuna watu wanajua kujifanya wako busy jamanii basi tuone ghorofa unalojenga,hakuna..lakini mtu yuko biiiiizeee kha,itakuwa ni watoa roho watu wa hivyo asee,.lakini kama ww ni mtu mzima unajitambua huwezi kukubali kucheza madange ya baridi,mapema una move on,..muda hautoshi jamanii kuanza kubebembeleza watoto wenye nywele za kwapa,.
Ukiona hivyo jua hakupendi au si mpenzi wa kupigapiga simu....

Mimi nina ugonjwa wa kutokupenda kutafuta watu au kupiga simu. Na sipendi kuongea na simu zaidi ya dak 5, labda iwe ishu ya ela .

Na hapa ndipo wengi niliokuwa nao walishindwa kunielewa na kuona siwajali.
Wkt mwingine sio kwamba ni ubize, bali kutopenda kupigapiga simu au kupokea simu.

Ninaweza kujiunga na kifurushi cha dak za mwezi mzima lkn nikatumia 20% tu.

Muwe mnaelewa na aina ya mtu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na vipi amekukubalia upo naye na unakula mzigo kama kawaida,ila unakuta ni mtu ambaye anaiumiza akili yako hatulii tu nawewe pekee,na baadaye unagundua ana wapenzi wengine mpo kama wanne hivi. je ,hapo ni patience au wastage of time??
hilo mkuu hakika hata kipofu analiona.
its TOTALY WASTAGE OF TIME.
sio tu time pamoja na resources
 
Na hapo ndipo wengi wanaposhindwa kukubaliana na ukweli......hivi mtu anakwambia yuko busy miezi mitatu bado una imani tu!!!!!? Me na gubu langu ukinisumbua mwezi tu naachana na wewe.......mtu ambae sijui uchungu wako wala kitovu chako kilikotupwa sikujui ya nini nianze kuumia kisa wewe......ukiachwa achika

Sent using Jamii Forums mobile app
We dada, nilikuwa nije PM.
Nimeogopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom