Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

hahahahahhaaa.....nimekusoma kaka. ngoja nizidi kukazia maamuzi yangu,maana nilihisi labda nakosea kukaa pembeni..
hilo mkuu hakika hata kipofu analiona.
its TOTALY WASTAGE OF TIME.
sio tu time pamoja na resources
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kiukweli bora umeopa Mimi ni kama mjeshi mikono juu mwendo wa mateka ukizingua unawekwa benchi siwezi kuvumilia shida zisizo na sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jamani ndoa zitadumu kwelu?
Muwe wavumilivuvumilivuuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahhaaa.....nimekusoma kaka. ngoja nizidi kukazia maamuzi yangu,maana nilihisi labda nakosea kukaa pembeni..
mkuu naona kukaa pembeni you are still close to her, unaonaje ukiondoka kabisaaaaa..😀😀😀
 
Ukiona hivyo jua hakupendi au si mpenzi wa kupigapiga simu....

Mimi nina ugonjwa wa kutokupenda kutafuta watu au kupiga simu. Na sipendi kuongea na simu zaidi ya dak 5, labda iwe ishu ya ela [emoji3].

Na hapa ndipo wengi niliokuwa nao walishindwa kunielewa na kuona siwajali.
Wkt mwingine sio kwamba ni ubize, bali kutopenda kupigapiga simu au kupokea simu.

Ninaweza kujiunga na kifurushi cha dak za mwezi mzima lkn nikatumia 20% tu.

Muwe mnaelewa na aina ya mtu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli..ndio maana nikasema penye upendo wa kweli hakuna mambo kama hayo,.hutokea kwa dharula...japo kuna wengine hujifanyisha busy ili usimuone wa kitaa😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom