Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

Du ni ngumu sana
Sidhani nami napitia njia hiyo. Nampenda lakin nimeshajiandaa kwa chochote.

Huwa simuoneshi kwa 100% mwanamke akijua unampenda kupitiliza shida huanzia hapo wengi huvimba vichwa na kuanza dharau.

Huwaga naishi nao kwa tahadhari mno. Formula yangu ni
1. Date for Fun,Don't Be Serious
2. Let Everything Flow
3. Don't Be Too Demanding
4.Lower Your Expectations
5. Be Open & Straight Forward

Namuamini Mama Sio Mwanamke Niliyekutana Nae Ukubwani.
 
We ni player???!!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom