Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

Usinicheke dada
Mapenzi ugonjwa mbaya sana jamani dah shunie mm nimepatikana

Wengine tukipenda tunapenda mazima
Tabu napata mimi

Eti unarudi lini jamani kwa shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usinicheke dada
Mapenzi ugonjwa mbaya sana jamani dah shunie mm nimepatikana

Wengine tukipenda tunapenda mazima
Tabu napata mimi

Eti unarudi lini jamani kwa shunie
Muombee Mungu arudishe moyo nyuma!
 
Hahahah nacheka kama mazuri mm arudishe moyo nyuma tena kwahiyo nimeachika bila kujijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom