Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Umejua kunimaliza kumbe nimeachika bila kujijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Najiona mm
Kuna mda ukikaa unaenda kusoma conv zake za nyuma shikamoo mapenzi
Hahaha hahaha
Unapenda mpaka ukikaa peke ako, unaanza kucheka ukimuwaza! Akikupigia simu unaanza kusmile kwanza ndo upokee... Akikuambia ako na shida unaumia, unawaza namna ya kumsaidia...
 
Now i've understood....
Raha kupendwa tuuu.
Hahaha hahaha
Unapenda mpaka ukikaa peke ako, unaanza kucheka ukimuwaza! Akikupigia simu unaanza kusmile kwanza ndo upokee... Akikuambia ako na shida unaumia, unawaza namna ya kumsaidia...
Dah
Hata sijui nielezee vipii unampenda mtu kama alivyo unampenda kwa vyovyote alivyoo yaani unampenda yeye tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Najiona mm
Kuna mda ukikaa unaenda kusoma conv zake za nyuma shikamoo mapenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom