zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
King Majuto ndio mgombea nimesikia hizo tetesi .....
Kupitia ccm.....
King Majuto ndio mgombea nimesikia hizo tetesi .....
Wakati wa kuunda UKAWA na muungano wake hakukuhitajika ushauri wako BabbOchu, kadhalika juu ya swala la mgombea urais wa UKAWA, hauhitajiki ushauri wako. UKAWA kuna watu kibao wenye vipaji toka kwa muumba wao ambao wanaweza wakakaa na kuamua nani agombee nafasi ipi? Kwa usipoteze muda wako kwa ajili ya hilo, wewe endelea na mambo yako hayo ya mgombea uraisi waachie UKAWA wenyewe; sawa?
Yaani lipumba aache kugombea urais,slaa aache kugombea urais? Maalim seif aache kugombea urais? Jua litachomoza magharibi
Mtu yeyote anayeotea, kushabikia na kufurahia kusambaratika kwa UKAWA ni adui mkubwa wa Watanzania. NI mtu anayependelea hali iliyopo sasa iendelee kuwepo. Hali hiyo ni ufisadi uliokithiri, uonevu, ukosefu wa huduma, utawala mbovu na maisha duni waliyo nayo Watanzania. Ushindani wa kisiasa utahakikisha kuwa mabovu yote hayo yatatokomezwa.
Waislamu humuwataki? Im not surprise