UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
MBIO ZA URAIS NDANI YA UKAWA-2015.
Nani anayefaa kupeperusha Bendera ya UKAWA
ktk Uchaguzi Mkuu Oktaba 2015.
(A)Dr.Slaa wa Chadema.
(B) Prof. Lipumba wa CUF.
(C) Emannuel makaidi
Toa na sifa ya kila mmoja na jinsi anavyoifahamu
nchi.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,198
Points
2,000
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,198 2,000
kwa uzoefu alionao na kwa jinsi alivyofanya kazi nzito ya kuujenga upinzani kwa mwavuli wa ukawa, ni wakati muafaka sasa asimame kama mkuu wa nchi inapokuja 2015 election. anatosha.
 
Gor

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
2,794
Points
1,195
Gor

Gor

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
2,794 1,195
kwa uzoefu alionao na kwa jinsi alivyofanya kazi nzito ya kuujenga upinzani kwa mwavuli wa ukawa, ni wakati muafaka sasa asimame kama mkuu wa nchi inapokuja 2015 election. anatosha.
..waachie ukawa ya kwao
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,588
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,588 2,000
Tunaomba kujua matokeo ya kidato cha sita ya Rais wetu mtarajiwa Mh Mbowe!
 
B

BOKO HALALI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
279
Points
0
B

BOKO HALALI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
279 0
mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,295
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,295 2,000
Ngoma ni nzito hiyo, acha kukurupuka.
 
G

GBBS

Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
78
Points
95
G

GBBS

Member
Joined Apr 2, 2012
78 95
MBIO ZA URAIS NDANI YA UKAWA-2015.
Nani anayefaa kupeperusha Bendera ya UKAWA
ktk Uchaguzi Mkuu Oktaba 2015.
(A)Dr.Slaa wa Chadema.
(B) Prof. Lipumba wa CUF.
(C) Emannuel makaidi
Toa na sifa ya kila mmoja na jinsi anavyoifahamu
nchi.
TUME HURU YA UCHAGUZI inahitajika ili kufanikisha hayo yote!Bila tume huru ni sawa na kujaza kitu cha thamani kwenye gunia lililotoboka chini lazima kitamwagika.Kwanza ziba ili uwe na uhakika wa usalama wa kitu chako.
 
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
11,291
Points
2,000
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
11,291 2,000
NILIKUWA natamani kulizungumzia jambo hili muda mrefu uliopita, lakini nilikuwa nasita kwa kuhofu kulaumiwa kwamba nimeanza kuwapigia kampeni ya urais mapema kabla hata uteuzi rasmi haujafanyika ndani ya umoja huu mtukufu (Ukawa)
Mnaolilia au wenye mpango wa kulilia urais kupitia ukawa nyamazeni.Wapisheni Dk.Slaa Salimin na Warioba waende ikulu.

Nitakuwa siitendei haki nafsi yangu kama sintawaunga mkono hawa wa tatu katika uchaguzi mkuu mwaka huu yeyote atakayependekezwa.Viatu vinawatosha vizuri tena ni saizi yao kabisa,Kabisa.
Kilichobaki kwa sasa ni ukawa kufanya mazungumzo na salimin na warioba ili kati yao watatu waingie kwenye mchujo tumpate mgombea wa Ukawa kutoka kwa viongozi hawa watatu,Hiyo ni njia nyepesi pia kwa safari yetu kuelekea Ikulu 2015.
Na kwa taarifa tu ni kuwa mgombea wa Ukawa atatokana na majina hayo niliyoyataja hapo juu mmoja kati yao ndio atapeperusha bendera ya Ukawa.
Ni nani endelea kuvumilia!
 
Magnesium

Magnesium

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Messages
317
Points
225
Magnesium

Magnesium

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2014
317 225
..Kuelekea uchaguzi mkuu 2015, swali hili huwa najiuliza sana... Muunganiko wa vyama hivi vitatu vya upinzani nchini Tanzania (CHADEMA, CUF, na NCCR-MAGEUZI) mwezi October watamsimamisha nani kuwa mgombea? Tukitazama kiundani tunaona kila chama kina mwanachama ambaye ni imani yangu anatamani nafasi hii ya Urais..

Angalia CUF kuna mchumi Prof. Ibrahim Lipumba ambaye amekuwa mgombea kwa miaka 15 sasa, CHADEMA kuna Dr. Slaa ambaye kagombea mara moja tu lakini ushawishi alionao kwa wananchi ni mkubwa hasa kupitia kuibua kwake kashfa mbalimbali kubwa nchini za ufisadi na kutoka NCCR- MAGEUZI kuna Joseph Mbatia ambaye nae ana uwezo mkubwa wa kuibua hoja, kuijadili na kuitetea hasa kwenye maswala ya Elimu na Uchumi wa Nchi.. Sasa swali langu liko palepale, NI NANI ATAGOMBEA URAIS KUPITIA MUUNGANIKO HUU? Naomba kuwasilisha.
 
NAMTUMBA

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
1,941
Points
1,225
NAMTUMBA

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
1,941 1,225
Haikuhusu. Subiri wakati ukifika utapata taarifa.

Sio lazima mgombea awe kati ya hao uliowataja. Mgombea anaweza kuwa yeyote hata wewe na Mimi tunaweza kuwa wagombea kama tutakuwa na sifa na vigezo. Ondoa shaka mgombea yupo mafichoni muda wowote ataiibuka.
 
K

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
700
Points
225
K

Kisendi

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
700 225
Ukawa bila dr slaa hawawezi kutoa ushindani. Tukumbuke mwaka 2010 alitoa challenge lwa ccm. Dr slaa a man to challenge ccm. Very intellegent and objective...wise and big ambition. Tukiacha ushabiki. Juzi nilimsikia kwenye hotuba ya kumbukumbuku ya mv bukoba. A man anastahili kugombea urais kwa ukawa na watapata wabunge wengi sana kwa vyama vyote. Tofauti na hapo sioni mtu mwingine kwwangu mmi. CCM watakuja na EL ambaye atapambana sana na dr slaa. Tofauti na lowasa mtu wa kupambana na dr slaa kwa ccm ni mwigulu nchemba walau...na mtoto wa mwinyi. Tusubiri yetu macho. UKawa mpeni dr slaa akimbize na mtapata wabunge wengi mno mje na sera nzuri. CCM ni chama imara sana africa inabd mjipange vizuri kukichalenge
 
Gor

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
2,794
Points
1,195
Gor

Gor

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
2,794 1,195
Ukawa bila dr slaa hawawezi kutoa ushindani. Tukumbuke mwaka 2010 alitoa challenge lwa ccm. Dr slaa a man to challenge ccm. Very intellegent and objective...wise and big ambition. Tukiacha ushabiki. Juzi nilimsikia kwenye hotuba ya kumbukumbuku ya mv bukoba. A man anastahili kugombea urais kwa ukawa na watapata wabunge wengi sana kwa vyama vyote. Tofauti na hapo sioni mtu mwingine kwwangu mmi. CCM watakuja na EL ambaye atapambana sana na dr slaa. Tofauti na lowasa mtu wa kupambana na dr slaa kwa ccm ni mwigulu nchemba walau...na mtoto wa mwinyi. Tusubiri yetu macho. UKawa mpeni dr slaa akimbize na mtapata wabunge wengi mno mje na sera nzuri. CCM ni chama imara sana africa inabd mjipange vizuri kukichalenge
unaSEMA KWELI KABISA
 
kababu

kababu

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
1,535
Points
1,250
kababu

kababu

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
1,535 1,250
hivi ukawa unatakiwa kuwa na wadhamin???? Maana naona ccm ngumu kwani unatakiwa kuwa na wadhani 450 nchi nzima, duu mashart magumu kweli kweli
 
kunguni wa ulaya

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Messages
3,445
Points
2,000
kunguni wa ulaya

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2014
3,445 2,000
Sio ukawa tu, nikuwa rais wa TZ.
 

Forum statistics

Threads 1,335,213
Members 512,271
Posts 32,499,264
Top