Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Wakati wa kuunda UKAWA na muungano wake hakukuhitajika ushauri wako BabbOchu, kadhalika juu ya swala la mgombea urais wa UKAWA, hauhitajiki ushauri wako. UKAWA kuna watu kibao wenye vipaji toka kwa muumba wao ambao wanaweza wakakaa na kuamua nani agombee nafasi ipi? Kwa usipoteze muda wako kwa ajili ya hilo, wewe endelea na mambo yako hayo ya mgombea uraisi waachie UKAWA wenyewe; sawa?
 
Very well said Mtagingwembe
 
Last edited by a moderator:
Yaani lipumba aache kugombea urais,slaa aache kugombea urais? Maalim seif aache kugombea urais? Jua litachomoza magharibi

Hapo ndo kwemye moyo. Nani asimame? hapo anayakiwa popula man
kwa bara- Slaa NA Zanzibar - Maalim SEIF
 
Habari za asubuhi GT,ninaamini mmeamka salama. Kwakweli nimekua mmoja watu wanaounga mkono makubaliano ya ukawa. Na moja ya makubaliano ni kumsimamsha mgombea mmoja ktk jimbo/kata na atatoka ktk chama ambacho kinachoongoza ama kilichoshka nafasi ya pili ktk uchaguzi wa mwaka 2010. Swali ni je, kama hicho chama kimeshuka sana kisiasa ktk eneo hlo kuliko chama kingne?(yaani kiasi kwamba wananchi wanapenda sana mgombea kutoka chama tofauti). Mfano mwaka 2010 ktk Jimbo la Tripoli (mfano) Chadema kilishnda kwa 40% wakati ccm kilishnda kwa 49%. Lakini inavyoonekana kwa sasa NLD inakubali sana ktk jimbo hlo kuliko chadema. Je, hapa UKAWA watafanyeje? Embu wadau tuwape ushauri UKAWA. Cc Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Kwa maana iyo hata masidiwani pia wawe na vigezo ivyo ivyo, sasa kuna aja gani ya kuwa na ukawa na si Chadema? Acheni ubinafsi, kwa mtindo huu hatotoki CCM ngoo,
 
Hatimaye imebainika UKAWA limekuwa ni jukwaa la walaji na watafuta umaarufu na kwamba muda wowote watasambaratika kutokana na kinachoelezwa na wataaluma wa Siasa kuwa kimejaa wasaka tonge kutoka kambi za fisi. Kila mmoja anataka ndio awe mgombe urais katika uchaguzi mkuu (LIPUMBA, SLAA, MBOWE, ZITO,MBATIA N.K).

My take: CCM Oyeee!!!
 
Huu utumbo nilitegemea sana kwa kutoka kwako. Pole sana jipange.
 
Haya huyasemi bure lazima yana ujira kwako, na watz wa leo sio wale wa jana, anza maandalizi ya kuwa mpinzani, siyo kazi ngumu nitashare na wewe experience yangu......
 
Mtu yeyote anayeotea, kushabikia na kufurahia kusambaratika kwa UKAWA ni adui mkubwa wa Watanzania. NI mtu anayependelea hali iliyopo sasa iendelee kuwepo. Hali hiyo ni ufisadi uliokithiri, uonevu, ukosefu wa huduma, utawala mbovu na maisha duni waliyo nayo Watanzania. Ushindani wa kisiasa utahakikisha kuwa mabovu yote hayo yatatokomezwa.
 
UKAWA iko kama popo yaani ndege si ndege, mnyama si mnyama. Itasambaratika tu
 
Mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani hatimaye umewadia.Hapa tuiangazie CHADEMA kwenye nafasi ya mgombea Urais,Nani kati ya Mwanasheria machachari Tundu Antipas Mughwai Lissu na Dr Wilbrod Peter Slaa anafaa kukiwakilisha chama?Je kwa mawazo yako ni nani kati ya hawa wanasiasa wawili makini anaweza kupata kura muhimu za vijana,wanawake,wakristo,waislamu,wapagani,wahindu,watu wa utaifa (race) tofauti tofauti?
 
Wananchi watajulishwa muda ukifika. Taratibu husika zitafuatwa na mwenye sifa ATAOMBWA kugombea na sio kujipitisha huku na huko kama kahaba kama wafanyavyo upande wa pili.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom