Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
Sio ilivyorekibishwa...Ilivyorekebishwa
 
Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.

Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena Euro four ambazo ni environmental friend. Mbali na hizo engine gari hizi zina gear box za Voith, wanaojua magari watanielewa.

Itakapofika mwezi wa Tano mwaka huu, mradi huu wa mwendo kasi utakuwa umefikisha miaka miwili kutuhudumia wananchi. Ikumbukwe mradi huu unamilikiwa asilimia zaidi ya 50 na Robert Kisena(SIMON GROUP), asilimia 10 umoja wa wamiliki daladala na zinazobaki ni serikali, kwa kigezo icho hapo juu, Kisena anapata mamlaka yakuamua nani amuweke kwenye management na nani amwajiri, Pia anapata upenyo wakutoweza kuwa audited.

Kinachonipa ukakasi nijinsi alivyoamua kuuendesha mradi huu, katanguliza ukabila mbele, ukifika Kurasini kwenye ofisi za Simon Group ni kisukuma kuanzia getini mpaka ghorofani,

Ukija Jangwani ni kisukuma kuanzia getini, madereva, workshop, stores mpaka kwenye management. Jambo hili wala nisingeona tatizo kama angeweka wasukuma rakini walio makini, lakini kajaza watu wasiojua nini wanafanya, wanangojea kila kitu yeye atoe maelezo muda wote wanagonga kisukuma ofisini.

Wapo watu ambao hawafai kuwa hata supervisors lakini unakuta wanaitwa C.E.O

Jambo la mwisho linaloleta ukakasi ni, jinsi alivyoamua kuanzisha vikampuni ndani ya mradi kwa ajili yakuwaibia wadau wenzake ambao ni wamiriki wa daladala na selikari.(Jambo hili liko sensitive sana sitaliweka hapa mpaka hapo baadae.)
Lakini hiyo kabila sindio ile kabila pendwa ya mkulu??
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Bandari na TRA mkuu ukiingia kuanzia getini, reception, nk ni kichaga tu.
Acha equation ianze kujibalance.

Forward and backward reaction are equal.
 
Inawezekana kweli, maana kuna majamaa fulani hv misukuma nilimaliza nayo chuo! Fasta tuu wakaajiriwa kimara pale sijui huwa wanawekewa na booking kabisa
 
Mkuu punguza hasira kidgoo ..ucwaze mradi wa mbagala tutaleta watu wa kwenu huko ,tuma majina na taarfa za ndugu wanaoishi huko vijijini
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
mtoa mada atakuwa mkurya tu huyu sio bure kwa kiswahili kile
 
Hizo Cummins ni Euro 2 na pia basi zenu za Tanzania zile za kwenda mikoani za kichina nyingi zinatumia Cummins euro 2. Na Voith ni retarder zake sio GearBox.
 
Mmh coco ungejipa muda kutafakari kabla ya kuchangia hivi.... Hizi tuhuma ni za muda mrefu sema huyu ndugu kaamua kujilipua.. Ngoja tuone itajulikana tu kama ni uzushi ama la

Mshana mie nimeandika kwasababu nimeona amelalamikia mengi.. najua ameshasemwa sana huyo Simon

So kama ana mapya ndio atumwagie tuyajue au? Si unajua tena JF tunapenda ubuyu kama kawa
 
Nakumbuka tulifanyaga usaili kwenye hii kampuni nafasi za uhasibu mpka hatua ya oral ambayo ilifanyika pale chuo cha NIT wakatuambia watakao faulu majina yao yatawekwa kwenye tovuti yao. Mpka Leo kimya hii ilikuwa mwaka juzi mwezi 5. Kwa maelezo yko nakuunga mkono 100%
 
Mshana mie nimeandika kwasababu nimeona amelalamikia mengi.. najua ameshasemwa sana huyo Simon

So kama ana mapya ndio atumwagie tuyajue au? Si unajua tena JF tunapenda ubuyu kama kawa
Mmh haya rafiki mimi nakuelewa ila wengine sijui
 
Back
Top Bottom