Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

Kwa uandishi huu bado mtu analalamika kukosa kazi? Unataka wakupe kazi gani maana hata udereva na ulinzi getini haukufai!
 
Kwa nini Suala la ukabila linaonekana kuwa agenda kubwa Sana awamu hii au wasukuma si watanzania? Ninavyojua mimi wasukuma wakitambuana hata Kama ni wawili tu wanaachana na kiswahili. Na kwa ucheshi wao unaweza ukaona wako million . Suala la pili umesema Simon Group wanamiliki 50% ya hisa Sasa Kama ameweka nguvu kiasi hicho ulihitaji ndugu zake wakafanye kazi wapi. Unadhani methali isemayo mchuma janga hula na wakwao ilijikita kwenye shida tu na si kwenye raha. Leta issues zenye tija!
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mmh coco ungejipa muda kutafakari kabla ya kuchangia hivi.... Hizi tuhuma ni za muda mrefu sema huyu ndugu kaamua kujilipua.. Ngoja tuone itajulikana tu kama ni uzushi ama la
pale ITV na redio one pakoje?..na kwenye kampuni zao nyingine?..wasukuma/nyamwezi hawakuwa na ukabila ila mmewafundisha..sasa tulieni
 
Angekuwepo hayati mwalimu Nyerere ushalambwa bakora wewe. Kengemaji
Dada hujui lugha yako? Lugha umepewa na Mwenyezi Mungu hakuna wakukuzuia kuongea lugha yako na mzarau lugha yake ni mtumwa!! Wewe ukiwa mmoja wao!! Pole kama hujui lugha yako!!
 
Naiona inaendeshwa kishamba shamba sana. Wakati watu wamejaa Kimara wameshalipa nauli magari ndio kwanza yanapumzishwa pale gerezani.
 
kama ni sekta binafsi hakuna tatizo[emoji41][emoji41]
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
Bora mkuu maana mimi nimepata hasira sana
 
Nchi hii sasa hivi ni ya kisukuma.... Ulikuwa hujui mjomba..... Sasa hivi kila kona inayogusa seririkali ni kisukuma kwa kwenda mbele..... Chamsingi tupige goti tusali na kutubu
 
Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.

Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena Euro four ambazo ni environmental friend. Mbali na hizo engine gari hizi zina gear box za Voith, wanaojua magari watanielewa.

Itakapofika mwezi wa Tano mwaka huu, mradi huu wa mwendo kasi utakuwa umefikisha miaka miwili kutuhudumia wananchi. Ikumbukwe mradi huu unamilikiwa asilimia zaidi ya 50 na Robert Kisena(SIMON GROUP), asilimia 10 umoja wa wamiliki daladala na zinazobaki ni serikali, kwa kigezo icho hapo juu, Kisena anapata mamlaka ya kuamua nani amuweke kwenye management na nani amwajiri, Pia anapata upenyo wakutoweza kuwa audited.

Kinachonipa ukakasi nijinsi alivyoamua kuuendesha mradi huu, katanguliza ukabila mbele, ukifika Kurasini kwenye ofisi za Simon Group ni kisukuma kuanzia getini mpaka ghorofani,

Ukija Jangwani ni kisukuma kuanzia getini, madereva, workshop, stores mpaka kwenye management. Jambo hili wala nisingeona tatizo kama angeweka wasukuma lakini walio makini, lakini kajaza watu wasiojua nini wanafanya, wanangojea kila kitu yeye atoe maelezo muda wote wanagonga kisukuma ofisini.

Wapo watu ambao hawafai kuwa hata supervisors lakini unakuta wanaitwa C.E.O

Jambo la mwisho linaloleta ukakasi ni, jinsi alivyoamua kuanzisha vikampuni ndani ya mradi kwa ajili yakuwaibia wadau wenzake ambao ni wamiliki wa daladala na serikali.(Jambo hili liko sensitive sana sitaliweka hapa mpaka hapo baadae.)
Watu wanazungumzia gari yenye Standard ya Euro 6 au Euro 7 , wewe unatuambia kua Euro 4 ni Enviromental friend?
Watokea wapi mzee wangu?
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
Faizs kakuachia mikoba
 
Mleta uzi atakuwa fundi wa mwendoasi, maana hizo pimbi zake hadi zimetoboa ovaroli. Noma sana
 
Back
Top Bottom