Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

ARCHBISHOP

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
271
Reaction score
488
Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.

Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena Euro four ambazo ni environmental friend. Mbali na hizo engine gari hizi zina gear box za Voith, wanaojua magari watanielewa.

Itakapofika mwezi wa Tano mwaka huu, mradi huu wa mwendo kasi utakuwa umefikisha miaka miwili kutuhudumia wananchi. Ikumbukwe mradi huu unamilikiwa asilimia zaidi ya 50 na Robert Kisena(SIMON GROUP), asilimia 10 umoja wa wamiliki daladala na zinazobaki ni serikali, kwa kigezo icho hapo juu, Kisena anapata mamlaka ya kuamua nani amuweke kwenye management na nani amwajiri, Pia anapata upenyo wakutoweza kuwa audited.

Kinachonipa ukakasi nijinsi alivyoamua kuuendesha mradi huu, katanguliza ukabila mbele, ukifika Kurasini kwenye ofisi za Simon Group ni kisukuma kuanzia getini mpaka ghorofani,

Ukija Jangwani ni kisukuma kuanzia getini, madereva, workshop, stores mpaka kwenye management. Jambo hili wala nisingeona tatizo kama angeweka wasukuma lakini walio makini, lakini kajaza watu wasiojua nini wanafanya, wanangojea kila kitu yeye atoe maelezo muda wote wanagonga kisukuma ofisini.

Wapo watu ambao hawafai kuwa hata supervisors lakini unakuta wanaitwa C.E.O

Jambo la mwisho linaloleta ukakasi ni, jinsi alivyoamua kuanzisha vikampuni ndani ya mradi kwa ajili yakuwaibia wadau wenzake ambao ni wamiliki wa daladala na serikali.(Jambo hili liko sensitive sana sitaliweka hapa mpaka hapo baadae.)
 
Je wewe unaongea kisukuma ndio ukawasikia?

Na wanapotangaza kazi kiuwazi hadi majina kuwekwa tuone.. je uliomba kazi?

Kwanini usiandike yote hapa kama unataka serikali wajue hayo ambayo ilo ichunguzwe...
Uzalendo kwanza kama unayajua yashushe..

Sijui huyo Simon kakukasirisha nini.. tupe habari.
 
acha watu waongee lugha yao bhana......mtu kiongea kikwao ni ukabila??
 
Je wewe unaongea kisukuma ndio ukawasikia?

Na wanapotangaza kazi kiuwazi hadi majina kuwekwa tuone.. je uliomba kazi?

Kwanini usiandike yote hapa kama unataka serikali wajue hayo ambayo ilo ichunguzwe...
Uzalendo kwanza kama unayajua yashushe..

Sijui huyo Simon kakukasirisha nini.. tupe habari.
Hajanikasirisha mkuu. Ni uwazi. Wanaojua hili watakuja pia
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
 
Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.

Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena Euro four ambazo ni environmental friend. Mbali na hizo engine gari hizi zina gear box za Voith, wanaojua magari watanielewa.

Itakapofika mwezi wa Tano mwaka huu, mradi huu wa mwendo kasi utakuwa umefikisha miaka miwili kutuudumia wananchi. Ikumbukwe mradi huu unamirikiwa asilimia zaidi ya 50 na Robert Kisena(SIMON GROUP), asilimia 10 umoja wa wamiliki daladala na zinazobaki ni selikari, kwa kigezo icho hapo juu, Kisena anapata mamlaka yakuamua nani amuweke kwenye management na nani amwajiri, Pia anapata upenyo wakutoweza kuwa audited.

Kinachonipa ukakasi nijinsi alivyoamua kuuendesha mradi huu, katanguliza ukabira mbele, ukifika Kurasini kwenye ofisi za Simon Group ni kisukuma kuanzia getini mpaka ghorofani,

Ukija Jangwani ni kisukuma kuanzia getini, madereva, workshop, stores mpaka kwenye management. Jambo hili wala nisingeona tatizo kama angeweka wasukuma rakini walio makini, rakini kajaza watu wasiojua nini wanafanya, wanangojea kila kitu yeye atoe maelezo muda wote wanagonga kisukuma ofisini.

Wapo watu ambao hawafai kuwa hata supervisors lakini unakuta wanaitwa C.E.O

Jambo la mwisho linaloleta ukakasi ni, jinsi alivyoamua kuanzisha vikampuni ndani ya mradi kwa ajiri yakuwaibia wadau wenzake ambao ni wamiriki wa daladala na serikari.(Jambo hili liko sensitive sana sitaliweka hapa mpaka hapo baadae.)
Acha wivu na wewe ongea lugha yako?
 
"rakini " ndio taka taka gani?
 
hata kutofautisha R na L ni shida.tiketi utaandika kweli
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
Copied na ninafanya hivyo
 
Je wewe unaongea kisukuma ndio ukawasikia?

Na wanapotangaza kazi kiuwazi hadi majina kuwekwa tuone.. je uliomba kazi?

Kwanini usiandike yote hapa kama unataka serikali wajue hayo ambayo ilo ichunguzwe...
Uzalendo kwanza kama unayajua yashushe..

Sijui huyo Simon kakukasirisha nini.. tupe habari.
Mmh coco ungejipa muda kutafakari kabla ya kuchangia hivi.... Hizi tuhuma ni za muda mrefu sema huyu ndugu kaamua kujilipua.. Ngoja tuone itajulikana tu kama ni uzushi ama la
 
hata kutofautisha R na L ni shida.tiketi utaandika kweli
Mkuu. Hiya matatizo kwa watu wa kanda maalum ni janga, rakini kwa ufupi sihitaji kazi hapa. Nikukumbushe kwa kuchanganya herufi R na L nimeweza kupita std 7, four, six, Bsc and Msc. Trust me, you will never find highlights of those errors in any of my certificates. Uwe na siku njema.
 
Sasa aache kuweka ndugu zake, akuweke wewe.....

Nyumbani kwanza ohoooo
 
Mkuu. Hiya matatizo kwa watu wa kanda maalum ni janga, rakini kwa ufupi sihitaji kazi hapa. Nikukumbushe kwa kuchanganya herufi R na L nimeweza kupita std 7, four, six, Bsc and Msc. Trust me, you will never find highlights of those errors in any of my certificates. Uwe na siku njema.
Halafu kinachonishangaza hili tatizo halipo kwenye kiingereza yani unaweza kuandika angaria lakini huwezi kuandika rook au remon au lest nk nk
 
Back
Top Bottom