Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.

Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena Euro four ambazo ni environmental friend. Mbali na hizo engine gari hizi zina gear box za Voith, wanaojua magari watanielewa.

Itakapofika mwezi wa Tano mwaka huu, mradi huu wa mwendo kasi utakuwa umefikisha miaka miwili kutuhudumia wananchi. Ikumbukwe mradi huu unamilikiwa asilimia zaidi ya 50 na Robert Kisena(SIMON GROUP), asilimia 10 umoja wa wamiliki daladala na zinazobaki ni serikali, kwa kigezo icho hapo juu, Kisena anapata mamlaka yakuamua nani amuweke kwenye management na nani amwajiri, Pia anapata upenyo wakutoweza kuwa audited.

Kinachonipa ukakasi nijinsi alivyoamua kuuendesha mradi huu, katanguliza ukabila mbele, ukifika Kurasini kwenye ofisi za Simon Group ni kisukuma kuanzia getini mpaka ghorofani,

Ukija Jangwani ni kisukuma kuanzia getini, madereva, workshop, stores mpaka kwenye management. Jambo hili wala nisingeona tatizo kama angeweka wasukuma rakini walio makini, lakini kajaza watu wasiojua nini wanafanya, wanangojea kila kitu yeye atoe maelezo muda wote wanagonga kisukuma ofisini.

Wapo watu ambao hawafai kuwa hata supervisors lakini unakuta wanaitwa C.E.O

Jambo la mwisho linaloleta ukakasi ni, jinsi alivyoamua kuanzisha vikampuni ndani ya mradi kwa ajili yakuwaibia wadau wenzake ambao ni wamiriki wa daladala na selikari.(Jambo hili liko sensitive sana sitaliweka hapa mpaka hapo baadae.)
Ww utakua mchaga tu mbona husemi TRA
 
Mmh coco ungejipa muda kutafakari kabla ya kuchangia hivi.... Hizi tuhuma ni za muda mrefu sema huyu ndugu kaamua kujilipua.. Ngoja tuone itajulikana tu kama ni uzushi ama la
Mkuu nina details nyingi, naweza kuku inbox the rest make naona watu wanadhani ni mmoja ya watu waliokosa kazi hapa.
 
Mleta mada samahani sana nikuulize swali; Hivi mtu kuitwa/kuwa mkabira ni nini ? ni ile hali ya kuongea kilugha ofisini au ni ubaguzi? Je umeenda kupata huduma umebaguliwa kwakuwa sio msukuma au unakerwa na lugha ya kisukuma?
 
Asante
Mkuu. Hiya matatizo kwa watu wa kanda maalum ni janga, rakini kwa ufupi sihitaji kazi hapa. Nikukumbushe kwa kuchanganya herufi R na L nimeweza kupita std 7, four, six, Bsc and Msc. Trust me, you will never find highlights of those errors in any of my certificates. Uwe na siku njema.
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
Walimu wa PS schools katika ubora wao
 
Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.

Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena Euro four ambazo ni environmental friend. Mbali na hizo engine gari hizi zina gear box za Voith, wanaojua magari watanielewa.

Itakapofika mwezi wa Tano mwaka huu, mradi huu wa mwendo kasi utakuwa umefikisha miaka miwili kutuhudumia wananchi. Ikumbukwe mradi huu unamilikiwa asilimia zaidi ya 50 na Robert Kisena(SIMON GROUP), asilimia 10 umoja wa wamiliki daladala na zinazobaki ni serikali, kwa kigezo icho hapo juu, Kisena anapata mamlaka yakuamua nani amuweke kwenye management na nani amwajiri, Pia anapata upenyo wakutoweza kuwa audited.

Kinachonipa ukakasi nijinsi alivyoamua kuuendesha mradi huu, katanguliza ukabila mbele, ukifika Kurasini kwenye ofisi za Simon Group ni kisukuma kuanzia getini mpaka ghorofani,

Ukija Jangwani ni kisukuma kuanzia getini, madereva, workshop, stores mpaka kwenye management. Jambo hili wala nisingeona tatizo kama angeweka wasukuma rakini walio makini, lakini kajaza watu wasiojua nini wanafanya, wanangojea kila kitu yeye atoe maelezo muda wote wanagonga kisukuma ofisini.

Wapo watu ambao hawafai kuwa hata supervisors lakini unakuta wanaitwa C.E.O

Jambo la mwisho linaloleta ukakasi ni, jinsi alivyoamua kuanzisha vikampuni ndani ya mradi kwa ajili yakuwaibia wadau wenzake ambao ni wamiriki wa daladala na selikari.(Jambo hili liko sensitive sana sitaliweka hapa mpaka hapo baadae.)
JF hapamung'unywi maneno , mwaga kila kitu mjomba
 
Mkuu nina details nyingi, naweza kuku inbox the rest make naona watu wanadhani ni mmoja ya watu waliokosa kazi hapa.
Ukitema cheche sana humu sana sana utakula ban mkuu,watasema unachochea ukabila humu Jf

Ova
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
Safi sana
 
Nina jamaa zangu wawili ninaowafaham wanaofanya kazi ktk huu mradi na wote sio wasukuma mmoja dereva na mwingine ni super visor itabidi niwaulize km ni kweli
 
Back
Top Bottom