Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

Ukabila utawaangamiza UDART (Mwendokasi)

Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
HAHAHA.... Jamaa yote hayo alikuwa amekosea.?.... HALAFU ANAZUSHA MAMBO YA UKABILA BADALA AJIFUNZE LUGHA KWANZA...
 
Mkuu. Hiya matatizo kwa watu wa kanda maalum ni janga, rakini kwa ufupi sihitaji kazi hapa. Nikukumbushe kwa kuchanganya herufi R na L nimeweza kupita std 7, four, six, Bsc and Msc. Trust me, you will never find highlights of those errors in any of my certificates. Uwe na siku njema.
Rakini - Lakini.... JARIBU KUJIFUNZA TARATIBU UTAZOEA.... NI KERO SANA KWA SISI TUNAOSOMA.
 
mbona wapo wachaga pale....yule mama dereva si mchaga yule? ...anyway aliamua kuweka wachapa kazi, mbona wasukuma wamejazana zenji mashambani wanalima uko usemi ukabila?
 
Kama yeye ndo majority shareholder, ana kila sababu ya kufanya hivyo.
 
Ndio maana mkuu anaupenda huo mradi. Ukabila mbele kwa mbele!
 
Watu wanazungumzia gari yenye Standard ya Euro 6 au Euro 7 , wewe unatuambia kua Euro 4 ni Enviromental friend?
Watokea wapi mzee wangu?

Kwanza hakuna Basi za Euro 4 pale DART ni Euro 2 zile tech ya miaka ya 1990 ulaya.kwenye malori bongo ndio wamefika kwenye euro 5 nayo yanawasumbua kuyatengeneza sabab teknolojia iko juu kupita uwezo wao.
 
Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.

Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena Euro four ambazo ni environmental friend. Mbali na hizo engine gari hizi zina gear box za Voith, wanaojua magari watanielewa.

Itakapofika mwezi wa Tano mwaka huu, mradi huu wa mwendo kasi utakuwa umefikisha miaka miwili kutuhudumia wananchi. Ikumbukwe mradi huu unamilikiwa asilimia zaidi ya 50 na Robert Kisena(SIMON GROUP), asilimia 10 umoja wa wamiliki daladala na zinazobaki ni serikali, kwa kigezo icho hapo juu, Kisena anapata mamlaka ya kuamua nani amuweke kwenye management na nani amwajiri, Pia anapata upenyo wakutoweza kuwa audited.

Kinachonipa ukakasi nijinsi alivyoamua kuuendesha mradi huu, katanguliza ukabila mbele, ukifika Kurasini kwenye ofisi za Simon Group ni kisukuma kuanzia getini mpaka ghorofani,

Ukija Jangwani ni kisukuma kuanzia getini, madereva, workshop, stores mpaka kwenye management. Jambo hili wala nisingeona tatizo kama angeweka wasukuma lakini walio makini, lakini kajaza watu wasiojua nini wanafanya, wanangojea kila kitu yeye atoe maelezo muda wote wanagonga kisukuma ofisini.

Wapo watu ambao hawafai kuwa hata supervisors lakini unakuta wanaitwa C.E.O

Jambo la mwisho linaloleta ukakasi ni, jinsi alivyoamua kuanzisha vikampuni ndani ya mradi kwa ajili yakuwaibia wadau wenzake ambao ni wamiliki wa daladala na serikali.(Jambo hili liko sensitive sana sitaliweka hapa mpaka hapo baadae.)
robert kisena mmiliki wa dart ni msukuma. wache wale mema ya nchi.
 
Nakumbuka tulifanyaga usaili kwenye hii kampuni nafasi za uhasibu mpka hatua ya oral ambayo ilifanyika pale chuo cha NIT wakatuambia watakao faulu majina yao yatawekwa kwenye tovuti yao. Mpka Leo kimya hii ilikuwa mwaka juzi mwezi 5. Kwa maelezo yko nakuunga mkono 100%
Samahan mkuu kwani kwenye usaik huwa wanauliza kabila
 
Pole Kiongozi lakini rekebisha maneno haya chini yenye rangi nyekundu yasomeke fasaha kama ilivyorekibishwa.
kutuudumia == kutuhudumia

unamirikiwa == unamilikiwa
selikari, == serikali

ukabira= = ukabila

rakini == lakini
wamiriki= = wamiliki.
Kwa hayo marekebisho tu huyu jamaa ameshajulikana ni Nshomile..hawa watu wajinga sana sasa kwa vile wanapenda ukabila basi kila wanapobanwa hii ndio wanaona silaha yao...nyanokoo.
 
Mkuu. Hiya matatizo kwa watu wa kanda maalum ni janga, rakini kwa ufupi sihitaji kazi hapa. Nikukumbushe kwa kuchanganya herufi R na L nimeweza kupita std 7, four, six, Bsc and Msc. Trust me, you will never find highlights of those errors in any of my certificates. Uwe na siku njema.
Hili jitu ni Nshomile haswa si unaona majigambo yao kusoma eti hadi Msc.. mmebanwa ***** zenu.
Mbona huyo mkurugenzi mkuu Ronald Lwakatare ni nshomile mwenzako na hujasema hovyooo sana hii mijitu inayokula senene mngechukuliwa na Idd Amin tuu mmejaa ukabila kila sehemu.
 
Halafu kinachonishangaza hili tatizo halipo kwenye kiingereza yani unaweza kuandika angaria lakini huwezi kuandika rook au remon au lest nk nk
Nilijua hili tatizo la R na L ni la vimchepuko kihiyo kumbe ni la wanaume pia tena kama huyu anayeclaim kafaulu vidato. Shame
 
Back
Top Bottom