Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Kuna bwana mmoja alianza shughuli zake za biashara kwa taaabu sana kwani kuna wakati alikuwa anafunga ashkilimu(ice cream) na karanga lakini kwa sasa ni bilionea na amefanikiwa sana katika biashara na maisha kwa ujumla wake. Tofauti ni nini na huyo bwqna ambaye kwa sasa ni profesa?

Tofauti ni kuwa huyo Prof alifanya udanganyifu, kusoma kwa jina lisilo lake, huenda kuna mtu alidhulumiwa.
 
Tofauti ni kuwa huyo Prof alifanya udanganyifu, kusoma kwa jina lisilo lake, huenda kuna mtu alidhulumiwa.

Kama ni huyo profesa, hajawahi kufeli hata mara moja. Ni mmoja wa wale waliosoma mfululizo hadi mwisho bila kikwazo au kuunga unga. Hizo zilikuwa ni hasira za Mengi tu, akalazimika kusema uongo kuhusu profesa.
 
Nape/ Mwigulu/Kinana si Maprofesa!


QUOTE=PNC 1;14841898]Sizani kama anamzungumzia Muhongo ila kati ya nape mwigulu au kinana kuna mtu mmoja hapo alishafeligi mtihani darasa la saba ikabd atumie jina la mwingine aliyefaulu ila hakuwa na pesa[/QUOTE]
 
Kama mtu ni yule yule kunatatizo gani?

Angekuwa amenunua cheti sawa,ila Kama amejihangaikia ni halali yake.
 
Mengi aache usengerema na chuki zake binafsi kwa muhongo,kanyimwa vitalu atulie,anakua na mambo ya kiswahili kama ya waimba taarabu,hovyo kabisa mengi,ana mambo ya kishangingi sana.

mengi kakutekenta tu unakojoaaa akikuingizia sibalaaa....mama inaonekana hujawahi kuguswa siku nyingi
 
Acheni Le Professor akamilishe kazi ya kusambaza umeme maana utawala wake kama Waziri umesababisha pale kijijini kwetu "MBALAMWEZI" iwake ndani.

Afterall Mkuu wa kaya keshasema PESA NI ZA WAWEKEZAJI kama le professor alivyosema bungeni... kosamlake nini tena...

?k?l?t? uchumi wa gas
 
Professor Muhongo keshawaambia watanzania wanamitaji ya kuwekeza kwenye juisi ju tu ila huo ndio ukweli wenyewe

fig_010.jpg


Hiyo shughuli kuchima hapo kila mita 10 gharama yake ni dola $10,000

Baharini unaweza kuchumba mpaka feet 10000 na zaidi rought estimates 3050 x 10000 = 30,500,000

Watafuta mafuta uangalia na ujazo wa gesi saa zingine inaweza kuwa kina zaidi hesabu za haraka tu ni 70,000,000 na pengine zaidi

Baada ya hapo kuna kujenga rigs hesabu zake kichaa ata kuziongelea; mafuta na gesi yakija kuna machanganyiko wa 40% to 50% na maji return of the investment inatokana na bei ya soko.

Sasa kasome sheria ya mikataba ya gesi na mafuta ndio utajua jinsi gani Professor Muhongo alivyo mzalendo na akili na jinsi anavyoielewa hii sector.

On the other hand kama wewe una share zako swala Oil nakuakikishia miaka mianane amtoweza chimba mafuta sio tanzania duniani kokote vitu vingine tunajisemea tu

Katika watu ninaompongeza raisi kuwarudisha ni huyu bwana kwa sababu ya taaluma na jinsi alivyo lisaidia taifa; on the other hand Mwakyembe is responsible tuna wataalamu wengi sana washeria huyu alitakiwa akae chonjo tu useless.
 
Professor Muhongo keshawaambia watanzania mnamitaji ya kuwekeza kwenye juisi ingawa amtaki hila huo ndio ukweli wenyewe



fig_010.jpg



Hiyo shughuli ya kuchimba hapo kila mita 10 gharama yake ni dola $10,000

Baharini unaweza kuchumba mpaka feet 10000 na zaidi rought estimates 3050 x 10000 = 30,500,000

Watafuta mafuta uangalia na ujazo wa gesi saa zingine inaweza kuwa kina zaidi hesabu za haraka tu ni 70,000,000 na pengine zaidi

Baada ya hapo kuna kujenga rigs hesabu zake kichaa ata kuziongelea; mafuta na gesi yakija kuna machanganyiko wa 40% to 50% na maji return of the investment inatokana na bei ya soko.

Sasa kasome sheria ya mikataba ya gesi na mafuta ndio utajua jinsi gani Professor Muhongo alivyo mzalendo mwenye akili na jinsi anavyoielewa hii sector.

On the other hand kama wewe una share zako swala Oil nakuakikishia miaka mianane amtoweza chimba mafuta sio tanzania duniani kokote vitu vingine tunajisemea tu lakini uhalisia wake tofauti we unadhani kwanini serikari karibu zote mafuta awachimbi wenyewe na faida zipo.

Katika watu ninaompongeza raisi kuwarudisha ni huyu bwana kwa sababu ya taaluma na jinsi alivyo lisaidia taifa; on the other hand Mwakyembe is replaceable tuna wataalamu wengi sana washeria huyu alitakiwa akae chonjo tu keshalitia taifa hasara za kutosha ni useless.
 
Eistein alionekana mtoto mtoto mjinga lakini ndio alibadilisha ulimwengu wa sayansi....
 
Ujumbe wa. July 2014 na thread ya 01/01/2015 (miezi 12 iliopita) vs. Uteuzi wa profesa siku 2(mbili zilizopita) RIP mtoa post.
 
Mengi kwa wivu Wa kibiashara sijapata on a MTU kama yeye.

Rostam alipomvua nguo ndiyo nilijua picha halisi ya mengi.

Mzee mnafiki sana
 
Alisoma Makojo primary akafeli, akarudia darasa la tano guta primary akafeli tena la saba akarudia mabhui merafuru primary darasa la nne kufika la saba akafeli tena, akarudia mrangi primary darasa la tatu safari hii alipasua aliongoza kimkoa. huyu ndiye Muongo Muhongo.

Jamani kufeli wakati unasoma ni sehemu ya shule. Chuoni watu wana feli na kurudua na kurudia tena na tena wala cjasikia kama ni udhaifu.
Sasa ukiwa na biashara ikashindwa kuleta faida ukaanzisha nyingine na nyingine mpaka ukawa tajiri maana yake wewe huwezi biashara kwa kuwa ulishindwa mara3 na ukabadili eneo na jina la biashara? Ni mikakati tu.
Kulingana post ya Mzee inaonyesha dhahiri kuwa prof aliondolewa kwa kuundiwa zengwe wala si utendaji. Mzee ana mchukia live.
 
Back
Top Bottom