Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,584
wenyewe mnaona kwa macho yenu wala sihitaji maswari FaizaFoxy Daudi1 Ritz
10897878_881467328572779_4562433020856807801_n.jpg
 
Attachments

  • Mengi.jpg
    Mengi.jpg
    8.7 KB · Views: 14,470
hahahahahaha,halafu atuonyeshe thesis ya PhD yake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
teh teh teh teh....si bure ni muongo kupindukia....
 
Mzee Mengi watu wanakuheshimu unatongoza na kuishi na vitoto vidogo na kuzaa zaa ovyo wakati mabinti wako wakubwa kuliko hivyo viruka njia ...utaleta magonjwa ya Aibu hata hizo hela za dhuruma unazongangania hazitakusaidia mke mkubwa umeachia vijana wenye nguvu....washughurike utakufa na viagra endelea yetu macho.
 
Muhongo akiwa mwanasiasa kafulila aetakua nani?Profesa mzima anasema hela sio ya umma?looo...!

Kuna tofauti gan kati ya waanasias wote? Wote wahongo tu,thou wengne wamezid
 
Kwa umri na heshima yake kama ana uhakika aitendee haki busara yake!!!!
 
Mzee Mengi watu wanakuheshimu unatongoza na kuishi na vitoto vidogo na kuzaa zaa ovyo wakati mabinti wako wakubwa kuliko hivyo viruka njia ...utaleta magonjwa ya Aibu hata hizo hela za dhuruma unazongangania hazitakusaidia mke mkubwa umeachia vijana wenye nguvu....washughurike utakufa na viagra endelea yetu macho.

mtakuwa mnasukana nywele barazani
 
Mengi aache usengerema na chuki zake binafsi kwa muhongo,kanyimwa vitalu atulie,anakua na mambo ya kiswahili kama ya waimba taarabu,hovyo kabisa mengi,ana mambo ya kishangingi sana.

Hivi Muhongo ndiye anatoa vitalu kwa ridhaa yake kama anagawa mapera kwenye shamba lake?
 
Back
Top Bottom