mbiligenda
Member
- Dec 3, 2015
- 87
- 48
Huhuhuhuh ukwel siku zote unauma,jasho linawatoka naona
Tunafungua ma file yote waliokwapua mikopo Nbc, import support fund,na waliokopa nssf na ppf.
Wewe hebu kwanza twambie hii post ya Mengi aliitoa lini? Hii post ina miezi zaidi ya sita kama si saba hivi unairudisha hapa ili iweje?Mzee wangu Mengi wewe ni Level ya juu sana katika nchi hii,hakuna mtu mwenye uwezo wa kukusumbua kwa lolote,
Kama kweli hii ni account yako naomba uelewe wakati umefika ukae pembeni, na ujiondoe kabisa kwenye haya maigizo!
na kama kuna mtu anatumia account bila wewe kusoma anayo post tafadhali futa kabisa hiyo account,
kama ni account feki naomba unisamehe sana!
![]()
Ndio maana nasema huyu Bavicha anajidai mnafiki kumsihi Mengi kumbe lengo lake ni kutoa kejeli na kuendeleza uchochezi....!Huu ujumbe wa tangu 12/31/2014 ndio mnauibua leo.
Kweli UKAWA wameweweseka😅😅😅...CCM ni ile ile. CCM mbele kwa mbele.
Mengi alimprove Muhongo wrong kwa kufungua kampuni ya Swala na kufanikiwa kuchimba Gesi na sasa kagundua hazina kubwa sana ya mafuta huko Chekereni wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Killimanjaro.
mengi yupo kwenye watu waliotumbuliwa?ndio nachoitaji ututhibitishie.Hahaha ukiwa Mjaluo sio lazima uwe mbishi, pale ICD ni noma, hahah
Huhuhuhuh ukwel siku zote unauma,jasho linawatoka naona
mengi yupo kwenye watu waliotumbuliwa?ndio nachoitaji ututhibitishie.
nasukuru kwa kupatia kabila langu aswaaa ila ubishi cio asili yetu haaahaaa