Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

whatever the case mengi hana hela ya kuwekeza kwenye gesi,anamiliki vitalu 57 vya madin mengne ameshndwa kuviendeleza kwa miaka kadhaa anatafta wawekezaji wengne awauzie gesi ndio ataweza?

Hela ya gesi mengi hana,aache mambo ya kike,akaimbe taarabu tujue moja aanze kupumuliwa

wamekutoa lini mirembe
 
Huyu mzee ana matatizo,yaani vijembe hivyo vya nini sasa?
Hiyo lugha aliyotumia yani ni kama mswahilii hivi tena ambaye hakwenda shule wala hana exposure yeyote mtu mzima aliyestarabika hawezi kupost kitu kama hicho? Mtu alirudia darasa la saba mara tatu afu leo ni professor so what? that is personal life its not our concern hata kidogo? After wangapi ambao hawakurudia walifaulu vizuri wakawa na elimu kubwa lakini bado hatuoni faida ya huko kufaulu kwao kwa kutorudia.
 
wamekutoa lini mirembe

Wewe na huyo mengi anzisheni kikundi cha taarabu tujue moja,hapo mtakua huru kurusha mipasho live redioni,tv nk.

Mzee mzima na mambo ya kike,sasa huwezi kumtofautisha mengi na mariam wa migomba wa tbc au gea habib kwa mipasho,kwa mipasho wanatoka pasu.
 
huyu mzee H.I.V imeshepiga hodi kichwani
 
Hahahahahaha lol!!!! Kwa jina lake lazima atakupiga fiksi tu ili asikuonyeshe maana haipo. Uprofesa wake hauna tofauti na ule wa maji marefu.
Nina story yake ila naogopa tu kusema,niliambiwa na mwalimu wake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mengi amechukua nafasi ya Mzee Issa Matona
 
Wewe na huyo mengi anzisheni kikundi cha taarabu tujue moja,hapo mtakua huru kurusha mipasho live redioni,tv nk.

Mzee mzima na mambo ya kike,sasa huwezi kumtofautisha mengi na mariam wa migomba wa tbc au gea habib kwa mipasho,kwa mipasho wanatoka pasu.

una kipaji cha kuimba taarabu mtafute mzee Yusufu
 
wenyewe mnaona kwa macho yenu wala sihitaji maswari FaizaFoxy Daudi1 Ritz

Alisoma Makojo primary akafeli, akarudia darasa la tano guta primary akafeli tena la saba akarudia mabhui merafuru primary darasa la nne kufika la saba akafeli tena, akarudia mrangi primary darasa la tatu safari hii alipasua aliongoza kimkoa. huyu ndiye Muongo Muhongo.
 
Mengi hili sijalipenda wewevni MTU mkubwa na mwenyewe heshima hayo mambo waachiee modern taarabu au unafanya tize kwa Mzee yusuphu? Pleeass tupa kule huko utoto
 
huyo anaesema mengi anataka kufanya udalali,hajui biashara,na hana pesa ya kuwekeza kwenye gesi hajui lolote, wawekezaji wanakuja mikotoni na mabrifcase,hawana pesa,wanafanya mikataba,ya kiwizi, kama ya nbc,uda,trc nk, wanapewa mitaji hapa tz au wanarudi kwao wanaonyesha mikataba wanapewa capital,wanarudi kufanyakazi.
 
Mengi aache usengerema na chuki zake binafsi kwa muhongo,kanyimwa vitalu atulie,anakua na mambo ya kiswahili kama ya waimba taarabu,hovyo kabisa mengi,ana mambo ya kishangingi sana.

'usengerema maanayake nini?tuache matusi ya kijinga humu.....,
 
Back
Top Bottom