Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Mengi aache usengerema na chuki zake binafsi kwa muhongo,kanyimwa vitalu atulie,anakua na mambo ya kiswahili kama ya waimba taarabu,hovyo kabisa mengi,ana mambo ya kishangingi sana.
Kampakia kweli mshamba yule, Muhongo muongo!
 
Mengi aache usengerema na chuki zake binafsi kwa muhongo,kanyimwa vitalu atulie,anakua na mambo ya kiswahili kama ya waimba taarabu,hovyo kabisa mengi,ana mambo ya kishangingi sana.
umejuaje anamuongelea muongo!!!? maprofesa wapo kibao, hata usowajua. na rais wako ni profesa pia!
 
Bado sijajua kama shida ni hizi social networks au nini watu wanakuwa na post za kitoto sana kuna mambo wazee wanazungumza vitu vya kijinga Kabisa. Hii post imekaa Ki udaku udaku hata Kama Una bifu na mtu jitahidi kulinda status
 
Mengi aache usengerema na chuki zake binafsi kwa muhongo,kanyimwa vitalu atulie,anakua na mambo ya kiswahili kama ya waimba taarabu,hovyo kabisa mengi,ana mambo ya kishangingi sana.
alitaka auze vitalu kwawahindi ili apate mihela mingi,kama ndo hivyo basi kila mtanzania apatiwe kitalu ili awe dalali,
 
Kamkumbusha kuwa mnyenyekevu. Na hilo ni jambo la msingi kwa kiongozi.
 
Bado sijajua kama shida ni hizi social networks au nini watu wanakuwa na post za kitoto sana kuna mambo wazee wanazungumza vitu vya kijinga Kabisa. Hii post imekaa Ki udaku udaku hata Kama Una bifu na mtu jitahidi kulinda status
Huyu mzee ana matatizo,yaani vijembe hivyo vya nini sasa?
 
ndo huyu prof.Muhongo ndo maana ana kipaji cha kuongea uwongo
 
Hahahahahaha lol!!!! Kwa jina lake lazima atakupiga fiksi tu ili asikuonyeshe maana haipo. Uprofesa wake hauna tofauti na ule wa maji marefu.

hahahahahaha,halafu atuonyeshe thesis ya PhD yake
 
jamani jamani tuende mbele 2sisahau kurudi nyuma,,pro aliposema wafanya biashara wa tz biashara zao ni juisi tuu alipatia? tumeona na kusikia watu wamekuja na dola laki 3,,tuu,wamepewa mitambo ya ma bln, ..kumbe anaesema ivo alifeli mara 3,na jina kabadili.. hilo watanzania ha2lioni.mmwacheni mzee m aseme kama muongo alivoachwa akasema
 
Anayembania mengi siyo muhongo ni Kikwete na ccm yote. Muhongo anafuata amri ya mkubwa wake tu.

whatever the case mengi hana hela ya kuwekeza kwenye gesi,anamiliki vitalu 57 vya madin mengne ameshndwa kuviendeleza kwa miaka kadhaa anatafta wawekezaji wengne awauzie gesi ndio ataweza?

Hela ya gesi mengi hana,aache mambo ya kike,akaimbe taarabu tujue moja aanze kupumuliwa
 
Back
Top Bottom