Mkuu labda jamaa alichokosea hapo ni kipi?
Mbona naona statement iko sawa tu, kama alichoongea ni ukweli then tatizo liko wapi?
ushahidi wa kama ametumbuliwa iwe gazeti au habari ya tv tashukuru tofauti na hapo ni ukiwa mkwere cio lazima uwe mmbea na muongoNa kwa bahati mbaya sasa ni mkwepa kodi mzuri tu Na majuzi JPM alimtumbua
ushahidi wa kama ametumbuliwa iwe gazeti au habari ya tv tashukuru tofauti na hapo ni ukiwa mkwere cio lazima uwe mmbea na muongo
Anajifunza mipasho uzeeni
Mzee wangu Mengi wewe ni Level ya juu sana katika nchi hii,hakuna mtu mwenye uwezo wa kukusumbua kwa lolote,
Kama kweli hii ni account yako naomba uelewe wakati umefika ukae pembeni, na ujiondoe kabisa kwenye haya maigizo!
na kama kuna mtu anatumia account bila wewe kusoma anayo post tafadhali futa kabisa hiyo account,
kama ni account feki naomba unisamehe sana!
![]()