Lumelondingu
Senior Member
- Nov 27, 2014
- 128
- 65
sidhani kama mzee Mengi kasema hayo maneno
mbona nawe kama una mipasho mkuuWewe na huyo mengi anzisheni kikundi cha taarabu tujue moja,hapo mtakua huru kurusha mipasho live redioni,tv nk.
Mzee mzima na mambo ya kike,sasa huwezi kumtofautisha mengi na mariam wa migomba wa tbc au gea habib kwa mipasho,kwa mipasho wanatoka pasu.
Ndio zinafanana hata wengi waliotimka makazini walitumia majina ya watu kusomea, sasa mawaziri wakiachwa ujue kuna walakini.Bwana mmoja alifeli darasa la saba mara tatu leo hii ni profesa muhongo..
Ina maana huyu alibadili jina?
Case yake na ya mwigulu si zinafanana sasa?
Lakini hii issue ya kurudia primary na kuchukua jina la mtu sidhani kama ni kosa kisheriaNdio zinafanana hata wengi waliotimka makazini walitumia majina ya watu kusomea, sasa mawaziri wakiachwa ujue kuna walakini.