Mengi aache usengerema na chuki zake binafsi kwa muhongo,kanyimwa vitalu atulie,anakua na mambo ya kiswahili kama ya waimba taarabu,hovyo kabisa mengi,ana mambo ya kishangingi sana.
Mkuu labda jamaa alichokosea hapo ni kipi?
Mbona naona statement iko sawa tu, kama alichoongea ni ukweli then tatizo liko wapi?
Kwani huyu bwana ni nani? Au ingefaa asema 'Profesa mmoja' kwa kuwa tumeshaambiwa 'huyo bwana mmoja' sasa ni profesa?Imekaa kimajungu majungu. "Bwana mmoja.." Ndio nini sasa. Kama ni kweli aseme jina kwa uwazi. After all hii ni utoto.
Kuna bwana mmoja alianza shughuli zake za biashara kwa taaabu sana kwani kuna wakati alikuwa anafunga ashkilimu(ice cream) na karanga lakini kwa sasa ni bilionea na amefanikiwa sana katika biashara na maisha kwa ujumla wake. Tofauti ni nini na huyo bwqna ambaye kwa sasa ni profesa?