Hivi alichofanya Mengi ni kumtuhumu Muhongo, au kueleza ukweli kwamba alirudia mara tatu! Muhongo amewahi kusema Sendeka alipata "0" A level, hiyo ilikuwa tuhuma, au fact!Definetely kwa sababu enzi hizo si ajabu hata yeye si Reginald....alirudia. Huko nyuma kurudia ili kuwa ni kawaida though ilikuwa kosa la jinai. Wengi walio serikalini na rika la mengi ni ma-repeaters wa darasa la saba.
it is also a foolish and childish accussation