Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

mzee mengi watu wanakuheshimu unatongoza na kuishi na vitoto vidogo na kuzaa zaa ovyo wakati mabinti wako wakubwa kuliko hivyo viruka njia ...utaleta magonjwa ya aibu hata hizo hela za dhuruma unazongangania hazitakusaidia mke mkubwa umeachia vijana wenye nguvu....washughurike utakufa na viagra endelea yetu macho.

toa ujinga wako hapa,masuala ya kitandani kwa mengi yanakuhusu nini, au we choko?
 
Hiyo lugha aliyotumia yani ni kama mswahilii hivi tena ambaye hakwenda shule wala hana exposure yeyote mtu mzima aliyestarabika hawezi kupost kitu kama hicho? Mtu alirudia darasa la saba mara tatu afu leo ni professor so what? that is personal life its not our concern hata kidogo? After wangapi ambao hawakurudia walifaulu vizuri wakawa na elimu kubwa lakini bado hatuoni faida ya huko kufaulu kwao kwa kutorudia.
Kwani muhongo ana faida gani labda kwa mkewe
 
wenyewe mnaona kwa macho yenu wala sihitaji maswari FaizaFoxy Daudi1 Ritz
10897878_881467328572779_4562433020856807801_n.jpg

Muulizeni na yy mr machache ilimchukya miaka mingapi uingreza kusomea degree yake iliyokuwa ya muaka 3 tu
 
Mengi alimprove Muhongo wrong kwa kufungua kampuni ya Swala na kufanikiwa kuchimba Gesi na sasa kagundua hazina kubwa sana ya mafuta huko Chekereni wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Killimanjaro.
Wewe unajuwa who is behind Kampuni ya Swala - Waustralia,nini kilitokea baadae walitaka watu wanunue share!Wanawaingiza raia kwenye michezo ya pata potea - Utafiti wa mafuta na gesi ni kama michezo ya bahati na sibu unahitaji mitaji mikubwa sana sio kubangaiza kutoka kwa wananchi-unapaswa uwe umejipanga kweli kweli kifedha,mbona hatujawahi kusikia Kampuni za Shell,Texco,BP,GASPROM,Exxon,Mobiloil nk wanakwenda kuwashawishi raia kuchangia kwenye adventurers zao,Mengi aliwahi kuanzisha Kampuni ya NICO kwa mtindo huu huu wa kushawishi watu wanunue/changia shares sasa nini kilikuja kutokea baadae? Kampuni ilishindwa watu wakapoteza fedha zao,sasa tuna uhakika gan4 kwamba mambo hayo hayawezi kujirudia tena this time around.

Mimi sijawahi .
 
Mimi sijawahi kusikia kwamba crude oil imegunduliwa Moshi! Hii ni habari mpya kabisa ninacho juwa mimi kuhusu Kampuni ya Swala wanafanya utafiti/uchimbaji huko Morogoro nafikiri kwenye bonde la Kilombero baadae waliomba kupewe vitalu vingine huko Tanga,hawaja tangaza kama wamefanikiwa katika tafiti zao.
 
Enzi zile, baba zetu, wajomba, kaka zetu, dada zetu, na baadhi yetu ilikuwa ni ngumu kupenya kwenda secondary.
Binafsi nilishinda peke yangu kwenda Form one wakati kuna jamaa walikuwa wanafanya vizuri sana darasani. Wengine walirudia shule na sasa wana nafasi nzuri tu kielimu n.k
Kama kweli ni account yake, anashusha reputation yake!
Mimi naamini bila ku take risk kwenye nyanja yeyote, si rahisi kufanikiwa.
 
muhongo alimnyima mengi vitalu kwa maagizo ya boss wake jk.. magu keshasema wazawa wenye uwezo wakawekeze kwenye gas. atulie aandae mkwanja akawekeze.. muhongo atakuwa rafiki yake soon. aache vijembe.
 
nikijiuzuru aridhi ya tanzania itatetemeka mm bado nasubili nione tetemeko la uyo bwana mkubwa
 
Mengi hili sijalipenda wewevni MTU mkubwa na mwenyewe heshima hayo mambo waachiee modern taarabu au unafanya tize kwa Mzee yusuphu? Pleeass tupa kule huko utoto

Ndugu ila jua nae binadam amekosa pakuongelea kama muongo kaongea bungeni awakusema mipasho ila mengi ndo mipasho ameongea ivo nadhani akiwa na maana pana zaidi tunavyodhani ni binadami jmn
 
muhongo alimnyima mengi vitalu kwa maagizo ya boss wake jk.. magu keshasema wazawa wenye uwezo wakawekeze kwenye gas. atulie aandae mkwanja akawekeze.. muhongo atakuwa rafiki yake soon. aache vijembe.
Mkuu unafikiri Serikali au Prof.Muhongo walimkatalia Mengi hasiwekeze kwenye Mafuta na gesi hapana,Serikali ilitangaza kwenye magazeti kwamba wenye uwezo waje tu kuchukua machapisho yenye mashariti/vigezo vya kuwekeza kwenye nyanja hiyo. Nasikia Bwana Mengi aliposoma vigezo/mashariti ya uwekezaji alingia mitini na kuanza kusema eti Serikali iwezeshe wazawa!! Nakwambia mambo mengine ya jamaa huyu ukiyasikiliza utashikwa na butwaa.

Baadae kabisa ndiyo alikuja na Kampuni ya Australia (Swala) - we wish him luck mradi yasije yakajirudia ya Kampuni ya NICO.
 
whatever the case mengi hana hela ya kuwekeza kwenye gesi,anamiliki vitalu 57 vya madin mengne ameshndwa kuviendeleza kwa miaka kadhaa anatafta wawekezaji wengne awauzie gesi ndio ataweza?

Hela ya gesi mengi hana,aache mambo ya kike,akaimbe taarabu tujue moja aanze kupumuliwa

Comment hii inaonyesha ujinga wako, una ufahamu wa namna biashara kubwa zinavyofanywa?unajua ni lwa namna gani makampuni yana raise vipi pesa za kufanya miradi yao?kama taifa tuna hasara sana kuwa na mtu mwenye fikra kama zako, watu wanafungua ofisi tuu hata iki worth 10 million wanafanya miradi ya ma billion we unaongea nini?
 
Kwani huyu bwana ni nani? Au ingefaa asema 'Profesa mmoja' kwa kuwa tumeshaambiwa 'huyo bwana mmoja' sasa ni profesa?

Kama huu ni utoto, mbona kuna 'Profesa mmoja' 'alimdhalilisha' mbunge mwenzake kwa kusema bungeni kwamba alipata 'division five' kwenye mtihani yake ya form six na watu mkashangilia?
Kinachotakiwa ataje jina, anaposema Prof mmoja ndo maana yake nini? Ndo maana nasema imekaa kimajungu, sema jina!
 
mengi ndhani anachemsha.hakuna uhusiano wa kufeli kwa muhongo na uprofesa wake.sawa alifeli lkn ni profesa tena ni profesa mahili.
 
Jiwe limetupwa gizani.....atakae lia mamaaa jiwe limempataaa
 
Back
Top Bottom