Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Mzee Mengi watu wanakuheshimu unatongoza na kuishi na vitoto vidogo na kuzaa zaa ovyo wakati mabinti wako wakubwa kuliko hivyo viruka njia ...utaleta magonjwa ya Aibu hata hizo hela za dhuruma unazongangania hazitakusaidia mke mkubwa umeachia vijana wenye nguvu....washughurike utakufa na viagra endelea yetu macho.

alimdhulumu nani ?
 
Kuna aina mbili za kufeli darasa la saba, katika miaka ya 70-90, yawezekana hata kabla ya 7o, kulikuwa na shule chache sana za sekondari. Kwa hiyo mfumo uliokuwa unatumika ni quota system, haijalishi ulifaulu, bali ni nafasi ngapi zipo za kupeleka wanafunzi sekondari. Kwa nini ushangae mwanafunzi ambaye hakufaulu katika shule ya serikali lakini mwanafunzi huyohuyo anafanya mtihani wa kuingia private anafaulu anaenda sekondari hadi chuo kikuu hadi kuwa profesa.

Kama unashangaa mbona hushangai Ben Carlson. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba katika suala la elimu, ni fursa ndio muhimu, ukikosa fursa A, kuna fursa B, C, n.k.Wako wengi waliokariri madarasa, sik kwa sababu hawakuwa na akili ila kwa sabau ya quota system.

Ila katika kizazi cha sasa, kufeli maana kuna wanaomaliza hawajui kusoma wala kuandika.
 
Hahahahah kweli elimu bila hela ni sawa na mtindio wa ubongo
 
Nashukuru Mungu nimeuona Mkuu na niko salama salmini. Heri ya mwaka mpya na kwako pia Mkuu. Kila la heri na baraka kwako na kwa familia yako katika mwaka huu wa 2015.

heri ya mwaka kaka
 
Hahahahah kweli elimu bila hela ni sawa na mtindio wa ubongo
 
Mengi ndio Donald Trump wa Tz anaongea anachojisikia bila kumuogopa mtu ni mfanyabiashara anayejiamini na Self Made Millionäre Namshukuru kwa kuongea ukweli kwenye hiI Nchi yetu ya mafisadi dah
 
muhongo anafuata amri toka juu jamani muwe japo na uelewa usiohitaji hata kwenda chekechea watu wazima mnashindwa kufikiri kwani muhongo ndo mwenye mamlaka ya kutoa ardhi kwa maslahi ya umma si amri kutoka kwa rais muwe na mawazo chanya kidogo si au kukua kwa habari ndo tatizo si kila jambo nila kushabikia akili kwanza na fikra timilifu ndio mpango mengi anatetea uwekezaji wakizalendo au kila kitu ni cha kumpa mzungu?
 
Jana Mr Reginald Mengi alipost kwenye Istagram yake kwamba kuna Mtu aliwahi kurudia la Saba mara tau na leo ni Le Porofeseri bila shaka akimaanisha Sospeter Muhongo

Je ana hoja>?
 
Hio mpya!

Hivi si ndo huyu alidharau elimu ya Ole-Sendeka kumbe nae kaungaunga tu!
 
Warudiaji tupo wengi unapotukana kwenye social media tahadhari na maneno usishangae ukawakejeli wazalendo 200 wakiamua kurusha mawe vita yake hutaiweza.
 
Nashukuru Mungu nimeuona Mkuu na niko salama salmini. Heri ya mwaka mpya na kwako pia Mkuu. Kila la heri na baraka kwako na kwa familia yako katika mwaka huu wa 2015.

Amen mkuu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuona mwaka wa mpya wa mafanikio na baraka tele ..ndo mwisho wa utawala wa shetani wa ccm.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
jamaa mmoja aliibia NBC ni jizi kubwa linalojifanya mtu mwema je mnalijua

Basi hao NBC ni wajinga yani waibiwe na mtu aliyewaibia yupo, mahakama zimejaa mawakili hadi wa ng'ambo kwanini wasimshitaki na kumdai?!
 
Sasa Tanzania kama hujaungaunga shule za kata ungetokaje na wewe siyo mtoto wa mwalimu,miaka ya 90 huko shule ya msingi yote anaweza asifaulu hata mmoja watu wanarudia japo wafaulu,kwahiyo mheshimiwa kurudia primary sishangai
 
Back
Top Bottom