Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
[TABLE="class: uiGrid _51mz fbPhotoPageInfo"]
[TR="class: _51mx"]
[TD="class: _51m- vTop fbPhotoUfiCol"]
Saimon Frank
Heri ya Mwaka mpya. - with Patrick Ole Sosopi, Daniel Naftal, Julius S. Mtatiro and Mwita Julius Gat Mbeya City.
17 hrs
Amos Marwa Nyamaisa, Stela Mangula, Bahati David and 60 others like this.
2 shares
Mathias Paul Lyamunda Muhongo
17 hours ago
Wilfred Pugutu Hilo sio dongo kwa Jk kweli!
17 hours ago · 1
Amon Mkoga Muhongo huyo
17 hours ago · 2
Eugine Ferdinand Makiluli Muhongo alifel mara nying alafu anakibur mbaya hajui kama kod yetu ilmsomesha na tibaijuka cwapendi
17 hours ago · 4
Mjungu Mabeba Nyamuko Mkwele huyo
16 hours ago · 1
Winfrida Selengia Hii kali
16 hours ago
Mussa Mofulu Ni mhongo huyo
15 hours ago · 1
Mandela Chikawe ???????????????????????
15 hours ago
Eugine Ferdinand Makiluli Wlifred unajua kubashir prof jk nin!
15 hours ago
Barnabas Nyanda Aacha kuwazarau wazawa
14 hours ago
Mossy Magere kwani huoni anastahili kupongezwa wangapi wanafeli wanaishia mitaani wanaishia kua vibaka na kuuawa huyo anastahil pongezi anajuhudi na atafika mbali tuache majungu tumechoka na chokochoko.
13 hours ago
Nkundwe Mwaipopo Wetengere Haahhhaahhaah duh Mengi no nooma
13 hours ago · 1
Sylivester Kijigo Mambo yanashangaza sana haya. Huyu Mengi yeye amesoma Kwa Kiwango Kipi? Huu Udaktari wa Kupewa unamzuzua.Taifa letu bwana. Wajinga wana sauti Kuliko Wenye Elimu. Stupid are very Confident while Clever are full of d aught. Hv Mbona tunashabikia huyu Men...See More
9 hours ago
Sophia Hebron Ha ha ha ha ha
9 hours ago
Eugine Ferdinand Makiluli Silvester kama mengi amezin na dada yako n umalaya wake sio wa jamii namengi anafanya kaz binafsi huyo prof anafanyakaz kwenyekodi zetu lazima awe mnyenyekevu sana
9 hours ago
Sylivester Kijigo Acha Ujinga wewe Eugine. Hata huyo Mengi ananunua sawa Mafuta ya Gari yanayoagizwa Nje kwa kodi zetu.Huyo mengi ananunua Sukari inayokuwa imported hapa nchini kwa Kodi zetu.Yako maeneo mengi sana yanayhusisha kodi zetu na mengi ananufaika napo. Narudia tena.Huu Ufirauni wa Mengi aende akaufanyie kwingine.Hawezi kuununua U proffesor wa Geology.!Pamoja na Utajiri wale bado naamini Mengi ni Lijinga Kabisa!
9 hours ago · Edited
Mossy Magere jamani i mi napita ila sijui ht anayesemwa hp ninani lkn nikimjua anahitaji pongezi na mfano wa kuigwa alikuwa kidume na kama ni mwanamke alikuwa imara,msitukane nadhani mengi hawezi kuandika hii lbd wapambe wake na kama ni yéyé basi atakuwa anashida m...See More
9 hours ago
Renalt Mkenda Napita tu mm cjamuelewa anamaanisha nn
8 hours ago
Kitambara Mafuru Mara tatu umefell halafu huna unyenyekevu?
7 hours ago · 1
Kitambara Mafuru Watu huwa wanasahau waliko toka,kibuli cha mtu huwa kina backup nyuma either individual au any other person from you
7 hours ago
Frank H Mganga Sylivester Kijigo. Punguza jazba japo kidoogo. Sio sukari na mafuta (na vitu vingine), vinaingizwa nchini kwa kodi zetu. Enzi za ujamaa ndio ilikuwa hivyo
2 hours ago
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]