Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

Duh nina mashaka na elimu ya kijana Muhongo, hivi ni profesa kweli ama magumashi tu? Kufeli la 7 mara 3? Kweli Kikwete kaona mbali hapa kumpa kilaza uwaziri halafu anashikwa na mshangao kwanini huyu mtu muongo.
 
FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.


c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.


k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.


l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.


m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.


n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
i certified you to be a new year great thinker
good analysis mkuu,mengi sio mtu mzuri ata kidogo
 
Hayo maneno kama ukiyasoma na kuyaelewa katika mtazamo wa uchanya yanaweza kutumika kuwapa moyo wale wenye wakati mgumu kielimu na kimafanikio kutia juhudi...

Kuanguka si mwisho wa safari...

Nisawa na bill Gates kuacha shule afu kuja kua mwana sayansi na bilionea
 
Mengi ndio Donald Trump wa Tz anaongea anachojisikia bila kumuogopa mtu ni mfanyabiashara anayejiamini na Self Made Millionäre Namshukuru kwa kuongea ukweli kwenye hiI Nchi yetu ya mafisadi dah

kaongea vizur sana mkuu.
 
......Daah! Mengi karusha jiwe moja ila kauwa ndege wengi mno. Utaona katika comment zitakazoandikwa hapa, wale wenye elimu za "welding" watakavyotoka povu. Ebu, nikae pembeni niangalie movie inavyoendelea.

Mshukuru MUNGU ulipofikia acha kudharau wenye elimu ya welding maana hao hao huwapigia kura viongozi
 
Hv wakina Bill Gates walishawahi tununkiwa udaktari mahala?
 
Hakika tunatatizo kubwa sana la kimaadili...kweli mtu anaishi uongo wa kufikia kutumia jina lisililokua lake anakuaje kiongozi wa jamii? Hivi tunatengeneza kizazi gani? Najua wako wengi ila dhabi ya uongo ni mbaya....
 
Tatizo sio kurudia mara 3,tatizo la Prof. ni kujifanya "GENIOUS". Mtu mwenye akili zisizo za kawaida na kudharau wengine. Sasa hilo ni "DONGO". Kama yeye ameungaunga na kufika hapo alipo iweje awakebehi wengine, au kuungaunga ni kwenye kusoma tu kwenye biashara hakuna ruksa.

between lines hiki ndicho Mengi alichomaanisha...keep calm people haaa
 
Tuwekeni sawa alifeli au alikosa nafasi ya kuendelea maana wkt ule unaweza kupiga 100% bado ukakosa nafasi.
 
wenyewe mnaona kwa macho yenu wala sihitaji maswari FaizaFoxy Daudi1 Ritz
CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana
Prof. Sospeter Muhongo is the Minister of Energy and Minerals of the United Republic of Tanzania and a Nominated Member of Parliament. He is, “Officier, Ordre des Palmes Académiques”, an Honorary Fellow of the Geological Society of America (HonGSA), an Honorary Fellow of the Geological Society of London (HonFGS), an Honorary Research Fellow of the Chinese Academy of Geological Sciences (HonFCAGS), a Fellow of the Academy of Sciences for the Developing World (FTWAS), a Fellow of the Geological Society of Africa (FGSAf), a Fellow of the African Academy of Sciences (FAAS) and a Fellow of the Tanzania Academy of Sciences (FTAAS).


Prof Muhongo is a fellow of ten highly learned professional societies. He is the first recipient (2004) of the Prof Robert
Shackleton (UK) Award for Outstanding Research on the Precambrian Geology of Africa. He is the Vice President of the Commission of the Geological Map of the World (CGMW). Prof Muhongo is a Full Professor of Geology at the University of Dar Es Salaam, Tanzania and an Honorary Professor of Geology at the University of Pretoria, South Africa.




Prof Muhongo was the Chair of the Jury for the African Union (AU) Kwame Nkrumah Scientific Awards – Continental
Awards for Outstanding Scientists 2011 Edition. He is a member of the Executive Board of the African Inter-Parliamentary Forum on Science, Technology and Innovation (AIPF-STI).


He is effectively involved in various high level regional (Africa) and global science, technology and innovation strategic policy processes (e.g. Africa-Europe STI partnership). He is a Member of the International Experts Group (Global Science Forum) of OECD and has occupied numerous important national, regional and international professional positions dealing with STI, earth resources, science policy and science diplomacy. Prof Muhongo was nominated by his country to be a candidate (2009) for the post of the Director General of UNESCO. He is Editor-in-Chief of the Journal of African Earth Sciences (Elsevier), Associate Editor of Precambrian Research (Elsevier) and a member of several editorial boards of science journals and bulletins. Prof Muhongo is the Senior Editor of the published book (2009) on, “Science, Technology and Innovation for Socio-Economic Development: Success Stories from Africa”.


Prof Muhongo was the President of the Geological Society of Africa (1995-2001). He was the founding Regional Director (2005-2010) of the ICSU Regional Office for Africa, Pretoria, South Africa. He was the Chairperson of the UNESCO-IUGSIGCP Scientific Board of International Geoscience Programme (2004-2008), and the Chair (2007-2010) of Science Programme Committee (SPC) of the UN-proclaimed International Year of Planet Earth (IYPE). He is a Chartered Geologist and an active member of numerous professional societies including, the Geological Society of America, the Geological Society of London, the Royal Commonwealth Society, Geologische Vereinigung (Germany), Geological Society of Africa, Geological Society of South Africa and the Tanzania Geological Society.




He was the Chairman (1999-2005) of the Board of Directors of the State Mining Corporation (STAMICO), Tanzania;
and was the Head (1997-2000) of the Department of Geology, University of Dar Es Salaam, Tanzania. Prof Muhongo
was the Chairman (2002) of the Tanzania Government's Commission of Inquiry on the deadliest Merelani tanzanite
mine's accident. Prof Muhongo is intensively mentoring young scientists, engineers and technologists around the world. He is the Patron of the University of Dar Es Salaam Geological Association of Students (UDGAS), a Patron of the National Young Earth Scientists Network (YES, Tanzania) and is an Advisor to the Global Young Earth Scientists Network (YES, Global).


Prof Muhongo has published over 200 well acknowledged research articles, geological and mineral maps. He has delivered more than 300 invited keynote speeches around the world at international conferences. He has undertaken over 100 contracted scientific research projects, and consultancy services in the mineral industry, environmental issues and STI policy matters. Prof Muhongo has been on many STI review/evaluation panels and advisory boards for both national and international institutions and organizations. He has been an External Examiner/Referee for numerous universities, i.e. examinations moderator and academic staff referee/evaluator (e.g. candidates for professorship positions). Over the past two decades, Prof. Muhongo has co-organized over 100 expert group meetings and international earth sciences, STI and science policy conferences, including those on “Science with Africa (Rapporteur-General)” which are hosted by the United Nations Economic Commission for Africa (UNECA), the African Union Commission (AUC) and their partners.




Prof Muhongo has developed a special interest in the application of STI for sustainable growth and socio-economic
development of the global society. Prof Muhongo who is a recipient of numerous scholarly and professional awards,
recognitions, grants, and fellowships studied geology at the Universities of Dar Es Salaam (Tanzania) and GHttingen
(Germany). He graduated with Dr.rer.nat. degree from the Technical University of Berlin, Germany. Prof Muhongo is
fluent in Kiswahili, English, German and French (basic). E-mail: s.muhongo@bol.co.tz/
profmuhongo.sospeter@gmail.com
Prof Dr Sospeter MUHONGO (Officier, Ordre des Palmes Académiques)
FGSAf, FAAS, FASI, FASSAf, FTAAS, FGIGE, FTWAS, HonFCAGS, HonGSA, HonFGS, CGeol, EurGeol
 
Kurudia mara tatu ni 'umbumbumbu', literally hii nchi tunaongozwa na 'mambumbumbu'..!!!
 
Mzee Mengi watu wanakuheshimu unatongoza na kuishi na vitoto vidogo na kuzaa zaa ovyo wakati mabinti wako wakubwa kuliko hivyo viruka njia ...utaleta magonjwa ya Aibu hata hizo hela za dhuruma unazongangania hazitakusaidia mke mkubwa umeachia vijana wenye nguvu....washughurike utakufa na viagra endelea yetu macho.

Kwa taarifa yako mtoto ni yule aliye chini ya miaka 18. Afterall afadhali ya mengi anayesaidia kuwatongoza hawa mabinti na kuwazalisha wasiweje kuwa machangudoa kuliko hiyo mi-professa inayoibia taifa na kuwaongezea machungu ya umasikini waTZ. Mm nimeanza kuelewa sasa kuwa hawa maprofesa wa-kitanzania ukifuatilia kwa undani wengi wao walifeli darasa la saba hivyo yalirudia sana madarasa mpaka yakaja kufaulu yakiwa mibaba (eg. Muhongo etc) na mimama (eg Tibaijuka etc) ndiyo maana they are just useless professors coz hayana ubunifu wowote ukilinganisha forexample na professors in far east countries like india, japan, china etc....yamebaki kuwa na CVs kubwa ambazo hazina impacts yoyote katika kuzikwamua nchi za kiafriaka kwenye changamoto za umasikini hayana tofauti na uprofesa wa kupewa wa kikwete...
 
Sasa anamzungumzia nano mbona hawk muwazi, kwa heshima aliyonayo Mengi nadhani hatakiwi kuongea Maneno kama kitendawili.
 
Kutumia jina bandia mtandaoni si salaha ya kutukana watu wenye hadhi kubwa nchini tukumbuke tujadili mada kwa kufikiri kwa kina.matusi ni silaha ya walioshindwa na kuhishiwa hoja.Kiukweli hakuna mwenye ushaidi wa mojakwamoja kuwa mh: Dr Mengi anamtuhumu Mh; prof Muhongo
 
Mzee Mengi watu wanakuheshimu unatongoza na kuishi na vitoto vidogo na kuzaa zaa ovyo wakati mabinti wako wakubwa kuliko hivyo viruka njia ...utaleta magonjwa ya Aibu hata hizo hela za dhuruma unazongangania hazitakusaidia mke mkubwa umeachia vijana wenye nguvu....washughurike utakufa na viagra endelea yetu macho.



Wewe ndio muhongo????mbona unapandisha povu???? kwani mtu kuoa kijana mdogo kosa ?kuna sheria ya umri wa kuoa??? ulishuhudia akitumia viagra au unaongea tuuuu??? we acha wivu wacha mzee ale bata..alipambana akapata ela sio za kirithi ...
 
Hakika Mengi amekaribia kuchanganyikiwa!
 
Back
Top Bottom