Shushani Ngomeni
Member
- Nov 24, 2014
- 45
- 18
Imethibitika!!!!!
Mkuu, sijaona sehemu ambayo nimemdharau mtu yeyote kwenye kile nilichoandika.Mshukuru MUNGU ulipofikia acha kudharau wenye elimu ya welding maana hao hao huwapigia kura viongozi
Mzee Mengi amepotoka, kwa umri wake huo no utovu Wa hekima maana hiyo ni hoja dhaifu sana.
Mengi atueleze ubaya uko wapi? Kwamba kurudia la saba Mara tatu kunahusiana vipi Na tofauti zao? Kosa LA Prof. Muhongo hapo limo wapi? Kurudia Mara tatu hakumfanyi Prof. Muhongo kuwa duni, mafanikio ya Prof. Muhongo kitaaluma ni makubwa kuliko ya Mengi. Kama Mzee Mengi anajiona bora kwa yeye kutorudia darasa lolote basis atuwekee elimu take ili tuamue nano yuko juu.
Nashauri Prof. Muhongo asijibu upuuzi huo Wa Mzee Mengi.
Vv
usimlaumu mtu anayerudia darasa la saba siyokuwa anapenda arudie bali kukosekana kwa hela kwenda private school
nimeuliza hivi......kurudia darasa la saba inaruhusiwa???kama jibu ni ndio kwanini warudiaji wanabadilisha majina???
sijamlaumu yeyote.
Duh mwaka mpya na vijembe vipya
Ushahidi kwamba alirudia darasa la saba mara tatu na kwamba alilazimika kubadili jina lake na shule uko wapi?
Na alikuwa anaitwa nani kabla ya kubadili shule?
nani.....??
Huyo "Bwana mmoja".
ha ha ha ha hawezi kuweka ushahidi kwasababu hata jina hakutaka kulitaja....tuchukulie tu kama hadithi ya kuwapa moyo vijana wasifikiri kufeli darasa la saba ndio mwisho wa maisha kielimu....unaweza hata kuwa profesa, kwa kweli inatia moyo