Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Yni nishakujua kua Elimu yko ni ndogo yle ya Msingi huyajibu
Kwa mujibu wa hadhi za mtume nilizokutolea umekubali kwamba swali linaweza kujibiwa kwa swali au haukubali kama ilivyo kawaida ya masalafy kuwa wajeuri wanapopambanukiwa na hoja kutoka kwa watu ambao hawakubaliani nao katika mambo fulani ?

Kama kweli wewe ni salafy pinga hapa hizo hadithi useme tena kwamba swali halijibiwi kwa swali,unao uanaume huo ndugu yangu ?

Nilitaka nikuweke sawa kuhusu kujibu swali kwa swali kwamba huo ni utaratibu upo hata kama unakana kukubali mimi sijali hilo ndugu yangu.

Najua moyoni utakiri kwamba daaah kumbe swali hujibika kwa swali ila hapa huwezi kukubali kwa sababu lengo lako kubwa ni kushinda hapa.
 
Jifunze kujikita kwenye mada.
Hoja yangu ni humeyd na masalafy na natembea humo sijatoka nje ya hoja au mada yangu.
Shida yenu huwa mnawachokoza Masalafy,masalafy
Kisai haya madai yako ni madai ya uongo mtupu kwa sababu zifuatazo.

Salim barahiyan alitoa clip ya kuruhusu kunyonyana tuou,abuu hashim kamraddi na kumshambulia salim barahiyan vibaya,je kuruhusu kunyonyana tupu salim barahiyani kawachokoza vipi masalafy mpaka wamshambulie ?

Juzi hapa abdallah humeyd kamuita othman maalim ni mtu muongo tena kwa kejeli,kisa othman maalim katoa kisa fulani cha nabii mussa ambacho kinasemekana ni dhaifu,je othman maalim kutoa kisa dhaifu cha nabii mussa amewachokoza vipi masalafy mpaka wamshambulie ?

Kwa hivyo haya madai yako ni madai yasiyo ya kweli yenye lengo la kuhalalisha kuvunjiwa heshima waislamu.
Kinginez, nani amekwambia kwamba masalafy hawashughuliki na mambo yao ?
Nawanshughulika na mambo yao na pia WANASHUGHULIKA NA MAMBO YA WENGINE.
Sasa acheni hizi mambo. Mtoa mada ametoa uzi mzuri sana, ni bora ungejikita katika uzi.
Kuweni wavumilivu mnapokosolewa kama ambavyo wenzenu akina mujaahidi walikuwa wavumilivu walipokejeliwa na kassim mafuta pale alipoambiwa sheikh mujaahid kwamba akitoa darsa anatoa kama muhuni muhuni fulani hivi.

Kuwa mvulilivu ndugu yangu usione raha kuwakosoa wenzio.
 
Katika mtu ambaye huwa sipendi kujadiliana nae na huwa namkwepa sana ni huyu.
Unanikwepaje kwa mfano wakati hapo juu umeniquote wewe mwenyewe.

Ukisusa susa kweli,usiigize kususa kijana.
Mpotoshaji na mjuaji sana
Hizi tuhuma hata masalafy wanatuhumiwa kwamba ni wapotoshaji,so sioni ajabu hata mimi ukinituhumu hivyo.
ila kwa chuki na ususuavu wake analeta mambo ambayo hayana haja kabisa.
Haya majungu baada ya kuishiwa hoja ndugu yangu.
 
Unanikwepaje kwa mfano wakati hapo juu umeniquote wewe mwenyewe.

Ukisusa susa kweli,usiigize kususa kijana.

Hizi tuhuma hata masalafy wanatuhumiwa kwamba ni wapotoshaji,so sioni ajabu hata mimi ukinituhumu hivyo.

Haya majungu baada ya kuishiwa hoja ndugu yangu.
Shukrani.
 
Hoja yangu ni humeyd na masalafy na natembea humo sijatoka nje ya hoja au mada yangu.

Kisai haya madai yako ni madai ya uongo mtupu kwa sababu zifuatazo.

Salim barahiyan alitoa clip ya kuruhusu kunyonyana tuou,abuu hashim kamraddi na kumshambulia salim barahiyan vibaya,je kuruhusu kunyonyana tupu salim barahiyani kawachokoza vipi masalafy mpaka wamshambulie ?

Juzi hapa abdallah humeyd kamuita othman maalim ni mtu muongo tena kwa kejeli,kisa othman maalim katoa kisa fulani cha nabii mussa ambacho kinasemekana ni dhaifu,je othman maalim kutoa kisa dhaifu cha nabii mussa amewachokoza vipi masalafy mpaka wamshambulie ?

Kwa hivyo haya madai yako ni madai yasiyo ya kweli yenye lengo la kuhalalisha kuvunjiwa heshima waislamu.

Nawanshughulika na mambo yao na pia WANASHUGHULIKA NA MAMBO YA WENGINE.

Kuweni wavumilivu mnapokosolewa kama ambavyo wenzenu akina mujaahidi walikuwa wavumilivu walipokejeliwa na kassim mafuta pale alipoambiwa sheikh mujaahid kwamba akitoa darsa anatoa kama muhuni muhuni fulani hivi.

Kuwa mvulilivu ndugu yangu usione raha kuwakosoa wenzio.
Shukrani.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Pia balance kwa kueleza nini wafanye wakikuta Islam mwenzao akitukana na kukebehi imani za wengine.
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Takbiir
 
Tatizo baadhi yenu huwa mnakejeli sana, mnajiona mnajua kila kitu, mnajiona nyie ndo mko sahihi wengine ni wajinga na wamepotoka, nyie ndo wenye haki zaidi ya wengine.

Hayo ndo hufanya watu watuoe lugha chafu.
Ila hii kitu ni nzuri hasa kwa sisi tunaopenda kujifunza uislam.
Kwenye dini ya Uislamu kuna elimu ya malezi au tabia na kwa bahati mbaya hili somo siku hizi halitiliwi mkazo.

Unaweza ukawa na elimu lakini ukakosa malezi hivyo ukakosa ustaha wa kuamiliana na watu. Elimu ya dini na elimu ya malezi vinakwenda pamoja. Kimojawapo kikikosekana baina ya hivyo huyo mtu atakuwa ni fasiq au mzandiki.

Na ukiutizama Uislamu, haukusema umchukie kaafir! Bali umesema uuchukie Ukafir. Ndiyo maana kwenye somo la malezi kipimo cha mwenye elimu kwa kadri inavyoongezeka ndivyo kadri anavyotakiwa awe mnyenyekevu.

Kwenye elimu ya malezi hautakiwi kudharau mtu, kuwa na kiburi, kujiona: Kijana mmoja kipindi cha Mtume swallallahu alayhi wasallam aliingia msikitini lakini moyo wake akawa umejawa na yeye ni bora kuliko wengine. Mtume akamwambia hii dini ni ya Mungu kuwa na heshima na viumbe wake.

Ndiyo maana kwenye malezi unafundishwa uwe ahlul mahaba (mtu wa upendo). Uwapende mpaka wale wanaofanya maovu kwa maana Upendo una nguvu! Pengine wanaweza kubadilika kwa kupitia upendo.

Sheikh Muhammad Al Hudaa Al Yaaqoubi anasema the shortest way ya kufika kwa Mungu ni love! Ila haina maana uache ibada nyenginezo zinazokuwajibikia.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Nasikia kiti aliipenda Sana mtume wetu siku Moja kulikuwa na sherehe wapishi wakala huko jikoni mezani wakapeleka Toka siku hiyo ikapigwa ban
 
Mimi sikujibu kwa ajili ya wewe,nakujibu kwa ajili ya wengine ili waone namna masalafi wanavyokimbia maswali hapa jukwaani.

Haya maneno uliyoweka ya aliy yanahusiana vipi na hoja yangu ile juu?
Sasa anokimbia maswali ni mimi.au ww yni ata mtoto mdgo atakushangaa
 
Uislamu ni matendo na siyo kuvaa barghashia, kutokula kitimoto, kufuga midevu na kuoa wake wengi. Kama matendo yako hayaendani na uislamu na wewe ni kafiri tu....
 
Mimi sikujibu kwa ajili ya wewe,nakujibu kwa ajili ya wengine ili waone namna masalafi wanavyokimbia maswali hapa jukwaani.

Haya maneno uliyoweka ya aliy yanahusiana vipi na hoja yangu ile juu?
Nimekuuliza maswali apo juu naona hujayajibu mpk saivi hlf unasema ety mm nakimbia maswali
jibu maswali yangu kuhusu khitma,Arobaini na Maulidi kma ww kweli ni mkweli
 
Pia balance kwa kueleza nini wafanye wakikuta Islam mwenzao akitukana na kukebehi imani za wengine.
Ukisoma vizuri iyo.Aya imejieleza kila kitu
 
audio zimejaa tele zimetutosheleza kutoka kwa mashaykh wa kiislamu tafuta audio za manhaj kutoka kwa shaykh abul fadhwl qaasim utapata faida kubwa.
Nimesshasikiliza sana ndugu yangu.

Mimi sio mutaqallidu
 
Nimekuuliza maswali apo juu naona hujayajibu mpk saivi hlf unasema ety mm nakimbia maswali
jibu maswali yangu kuhusu khitma,Arobaini na Maulidi kma ww kweli ni mkweli
Majibu yangu yapo kwenye maswali niliyokuuliza ndiyo maana unayakwepa.

Nimeshakuonesha kwamba ni sahihi kujibu swali kwa swali kama alivyofanya mtume.

.mwanzo Ulipinga hilo,nimekupa hoja za wazi kabisa unakataa kukubali kwwmba swali inaweza kujibiwa kwa swali.

Acha ususuwavu ndugu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom