Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,340
- 9,081
Hakika 100% penyewe hofu kwakoTumekusikia ila jitafakari ww kwanza uko ulipo ndipo
Hakika 100% penyewe hofu kwakoTumekusikia ila jitafakari ww kwanza uko ulipo ndipo
Kuna wakati una akili sana🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa na hii ndio njia bora kabisa na mwendo wa waja wema waliiotangulia , hata mimi nimejifunza nikiona mtu haelimiki ,hana adabu na ameanzisha lugha chafu na matusi basi ni wa kumuacha tu maana vitimbi vyake haviwezi kubadilishwa chochote kile na kanuni ninayo ifuata ni hii "Show forgiveness , enjoin what is good and turn away from the ignorant (foolish) " 7:199
Kitu usichokielewa kwenye ile reply ni kuhisi labda nimemnanga mleta uzi!!Tatizo hilo lipo kila upande, ila sababu wewe ni mkristo, huwezi kuona ubaya wa mkristo anaendika vibaya Uislamu.
Alafu nikuambie tu, Uislamu hata ukiusoma hutaujua, Ukishajiandaa kupinga hutokubaliana.
Mimi nilikua na bibilia nilinunua pale standy ya zamani ya mkoa Ubongo, kwa ajili tu ya kubishania na akina mgeni, na wagalatia wengine, enzi hizo wewe hujaijua Jamiiforums.
Baadae nilimtamfuta mkristo nikampa, kila mtu abaki na imani yake, ila kwa hiki kinachoendelea ngoja nikatafute nyingine, ingawa ipo play store, nataka kitabu ambacho unapoishia ni rahisi kuweka kumbukumbu kwa kukumja ukurasa au kuweka kitu.
No ligi hpawanaoanza kuja na lugha chafu za kukashifu dini za wenzao na kuona yao ndio bora ni waislamu wenyewe sasa wakijibiwa ndio wanalalama hapa wanapenda wakaliwe kimya waongee wao tu wakati wana mapungufu kwenye dini yao kama yote na hawataki kupewa ukweli ila kudhihaki za wenzao namba moja,tulieni sindao ziwaingie.
Sawa ndugu yangu huu ni mfano wa vijana wanaozalisha akina abdallah humeyd na abul fadhwli.We sufi tulia ww mlitaka muachiwe tu muendelee kuharibu dini
Leo hii hata wasio waislamu wanashangaa ivi huu Uislamu wa kucheza kucheza na kukata viuno umetoka wapi? Kumbe nyinyi watu bid'aa ndo mnataka kutuharibia dini yetu
Namkubali sana Abdallah humeid mna hapindishi maneno yy ni straight forward
Penye haki izungumzwe na kwenye batwili pia izungumzwe tena kwa kukemea vikali sanaaa
Kwaio ww untaka kusema kwamba mnoyafanya nyie masufi ndo mko sahihi?Sawa ndugu yangu huu ni mfano wa vijana wanaozalisha akina abdallah humeyd na abul fadhwli.
Hii manhaj mimi naifahamu hivyo nakupa udhuru kwa sababu najua unapitia hali gani kwa sasa ndio maana unayasema maneno haya.
Neno langu ni kukuombea kwa Allah akupe salama na akuzidishie uomgofu wewe na mimi.
Wewe kama muislamu hautakiwi kuzungumza jambo ambalo huna elimu nalo.Kwaio ww untaka kusema kwamba mnoyafanya nyie masufi ndo mko sahihi?
Hakuna anayepinga hizi hadithi,watu wanachopinga ni usulbu wanaotumia baadhi ya ndugu zetu masalafy kulingania ni usulbu mgumu ambao uko kinyume na uislamu.Kwani atakayeishi miongoni mwenu baada yangu ataona tofauti nyingi, basi shikamaneni na Sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa Waongofu, mshikilie, na mung'atae kwa magego, na jihadharini na mambo mapya. kila jambo lililozuliwa ni uzushi, na kila uzushi ni upotofu, aliongeza katika Hadithi nyingine: Na kila upotofu uko Motoni
ولا تقف ما ليس لك به علم إن السمع والبصر والفؤاد كل أولئك كان عنه مسئولاKwaio ww untaka kusema kwamba mnoyafanya nyie masufi ndo mko sahihi?
Waabudu makaburi
Wanawapenda masheikh wao kuliko mtume
Washirikina
Watu wa kuzusha mambo
Hlf pitia hadithi hii unaweza kupata chochote ndugu yangu
- . . . . فإنَّه من يعِشْ منكم من بعدي فسيرَى اختلافًا كثيرًا, فعليكم بسنَّتي وسنَّةِ الخلفاءِ المهديِّينَ الرَّاشدينَ, تمسَّكوا بها, وعضُّوا عليها بالنَّواجذِ, وإيَّاكم ومحدَثاتِ الأمورِ فإنَّ كلَّ مُحدثَةٍ بدعةٌ, وكلَّ بدعةٍ ضلالةٌ, زاد في حديثٍ آخرَ : وكلَّ ضلالةٍ في النَّارِ
Kwani atakayeishi miongoni mwenu baada yangu ataona tofauti nyingi, basi shikamaneni na Sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa Waongofu, mshikilie, na mung'atae kwa magego, na jihadharini na mambo mapya. kila jambo lililozuliwa ni uzushi, na kila uzushi ni upotofu, aliongeza katika Hadithi nyingine: Na kila upotofu uko Motoni
Sasa ndugu yangu unataka kuingia motoni kwa kufuata hawa masheikh wapotofu?
Dini yetu ya uislamu haifundishi kufikisha haki tu,bali inatufundisha mpaka namna ya kufikisha haki hiyo uifikishe kwa njia ganiKwani atakayeishi miongoni mwenu baada yangu ataona tofauti nyingi, basi shikamaneni na Sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa Waongofu, mshikilie, na mung'atae kwa magego, na jihadharini na mambo mapya. kila jambo lililozuliwa ni uzushi, na kila uzushi ni upotofu, aliongeza katika Hadithi nyingine: Na kila upotofu uko Motoni
Neno black lilitumika km kashifa,Hasa miaka ile,By the way hakuna mtu mwenye rangi ya black,Isipo kua tuna rangi ya kahawia,Kaangalie Rangi nyeus uone km wewe una rangi HiyoKuna mjamaa humu anatuma jina la@Macro Polo na yeye aliwahi kusema Ktk uzi mmoja kuwa mwanzo alikuwa akichukia jina la kafiri na kuitwa hivyo lakini alivyo gugo na kujua maana yake hachukii tena na anaona kawaida mtu akimuita kafiri.
Sawasawa zama za ubaguzi wa rangi Marekani ilikuwa mtu mweusi ukimuita" black " anachukia animal kosa na umemuita jina baya wkt huo huo alikuwa akikubali jina la "negro" akiitwa na Mzungu kumbe yote maana ni Moja hapo ni lugha tu ndiyo imebadilika na yeye ni kweli ni black
Hoja zako tu zinathibitisha jua ww ni Sufi kwa kuwapinga walimu wa SunnaWewe kama muislamu hautakiwi kuzungumza jambo ambalo huna elimu nalo.
Asema Allah
ولا تقف ما ليس لك به علم إن السمع والبصر والفؤاد كل أولئك كان عنه مسئولا
[ AN NAH'L - 36 ]
Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa.
Aliwahi kuuliza sheikh ibnu baz Allah amrehemu kuhusu tafsiri ya hii aya sheikh akasema
"أن الله ينهى عن كون الإنسان يتكلم فيما لا يعلم يعني: لا تقل في شيء ليس لك به علم، بل تثبت "
kkamba " Allah amekataza mtu kusema mambo ambayo hayajui bbai anatakiwa awe na uthibitisho.
wwwe ndugu yangu huna uthibitisho wowote kwamba mimi ni sufi bali kwa kuwa nnimeaua kwenda kinyume na shekhe wako ukaona unizushie huu zushi ambao bila shaka Uhibitisho hauko.je
sio kwamba naogopa kuwa sufi hapana,ningelikuwa sufi ningesema hapa kkwambamimi ni sufi lakini mimi sio sufi.
Hakuna anayepinga hizi hadithi,watu wanachopinga ni usulbu wanaotumia baadhi ya ndugu zetu masalafy kulingania ni usulbu mgumu ambao uko kinyume na uislamu.
Watu kuwa wapotovu haina maana uwakosee adabu katika kuwafikishia ujumbe,uislamu haujaishia kwenye kubainisha haki tu bali uislamu umefikia mpaka kutumia ustaarabu kwenye kufikisha hiyo haki.
Na salafi wengi usulbu wao ni wa ususuwavu mno,usulbu wa hovyo ambao hauendani kabisa na tabia njema za uislamu ndio kama hapa kauli unazotoa wewe zinaonesha salafi wengi mko hivyo.
Unatumia emotions zaidi katika mambo yanayohitaji hoja za wazi kama haya.Hoja zako tu zinathibitisha jua ww ni Sufi kwa kuwapinga walimu wa Sunna
Ingependeza ungejifichua kwenye kichaka ulichojificha kwacho kubainisha manhaj yako ila kona kona hizo utapelekwa hata kwenye UIBADHIUnatumia emotions zaidi katika mambo yanayohitaji hoja za wazi kama haya.
Waalimu wa sunna hawapingwi kwa sababu ya sunna zao,bi wanapingwa kwa sababu ya yale wanayokiuka katika sunna za uislamu.
Kuwapinga waalimu wa sunna sio tatizo maadamu unawapinga kwenye jambo sahihi,ila kwa kuwa mnaamini waalimu wenu hawakosei ndio mnaona kila anaewapinga msufi,mkhurafi.
Sheikh ibnu baaz alimpinga sheikh albaniy pale albani aliposema kwamba kurudisha mikono baada rukuu ni bidaa,sheikh ibn baaz akapinga kwamba imam albani amekosea japokuwa ni aalim wa kisunna.
Hivyo itikadi yako ya kwamba kuwalinga waalimu wa sunna ni usufi ni itikadi ambayo ndugu yangu uifikirie mara mbili.
Kama wanapingwa juu ya jambo la usawa basi naam kupingwa huko ni sawa kama alivyompinga sheikh ibn baaz albani.
Ila wewe unaweza kuendelea na hiyo misimamo yako kama unaona ina tija mimi lengo langu ni kuelimisha vijana tu wasiingie katika hizi firqa za jazba na fitna baina ya waislamu.
Mimi sina tatizo,niite shia,niite qadiyani,niite sufi,niite salafy,niite kafiri,niite vyovyote wala sina tatizo.Ingependeza ungejifichua kwenye kichaka ulichojificha kwacho kubainisha manhaj yako ila kona kona hizo utapelekwa hata kwenye UIBADHI