safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,314
- 18,146
Majibu yangu yapo kwenye maswali niliyokuuliza ndiyo maana unayakwepa.Nimekuuliza maswali apo juu naona hujayajibu mpk saivi hlf unasema ety mm nakimbia maswali
jibu maswali yangu kuhusu khitma,Arobaini na Maulidi kma ww kweli ni mkweli
Nimeshakuonesha kwamba ni sahihi kujibu swali kwa swali kama alivyofanya mtume.
.mwanzo Ulipinga hilo,nimekupa hoja za wazi kabisa unakataa kukubali kwwmba swali inaweza kujibiwa kwa swali.
Acha ususuwavu ndugu yangu.