Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Kijana hatutaki ugomvi hpa nakujua vizuri tu kma huna la kukoment kaa pembeni
Huyo ni moja kati ya watu wanaongoza kukashifu uislamu hapa jukwaani hana adabu kabisa , wakati mwingine anajifanya muislamu kiufupi ni moja Kati ya vijana wa hovyo hapa Jf
 
Namjua vizuri uyo hanipi shida kabisaaaa
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Na nyie msimtukane Mungu kwa kusema hayupo ila allah tu
 
Mkuu, samahani. Hivi huyu humeid ndio kundi moja la yule sheikh albarahian wa mombasa!! Wanao kufurisha madhheb flani!!
Sheikh albarahian wa mombasa simjui.

Ila ninayemjua ni sheikh salim barahiyani wa tanga ambaye huyu barahiyani na mafuta haziivi kama paka na panya na wote hawa ni waislamu na wote wanajidai ni masalafy.
 
Nampenda mno Abdallah Humeyd kwa ajili ya Allah. Nawapenda mno akina Qassim Mafuta na wenzie kwa ajili ya Allah.

Namuomba Allah awahifadhi.

Allah atuongoze katika njia iliyonyooka.
Hata mimi nawapenda kwa ajili ya Allah na nawachukia kwa ajili ya Allah.

Kama ambavyo wao wanawachukia waislamu wenzao (wanaowaita watu wa bidaa kwa)kwa ajili ya Allah
 
Nikuulize

Ivi ndugu yako au mzazi wako angekufa kwenye yale maandamano ya sheikh ponda leo hii ungesema hivi?
Tushukuru Mungu hawa Masheikh wamekuja kuwabainisha watu wa haki na watu wa bid'aa

jibu swali hili
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.

umejibu vzr
 
Naam ni Dini ya Hikma na ndio wanavyofanya Masalafi.

Allah akuongoze wewe na sisi.
Hekima na usalafy wa kina mafuta na humeyd ni baina ya mashariki na magharibi.

Kuna yule mzee wa mombasa anaitwa abuu hashim fuatilia alipokuwa anamraddi salim barahiyan kuhusu kuramba tupu hukmu yake,kamkejeli sana salim barahiyan,abuu hashim ni mtu mzima lakini anakosa busara na ustaarabu.

Juzi juzi abdallah humeyd kamsema ndugu othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli tena asema kwa dharau na kejeli,ilikuwa inatosha asemw kwamba kisa hiki hakikuthibiti lakini akaona haitoshi akamzulia mwenzie uongo,bila kujua pengine mwenzie hajafikiwa na hoja juu ya kisa cha musa kutaka kupewa funguo ya rizki.

Abdallah humeyd kwa vile ni salafi akamsema kwamba othman maalim ni mtu muongo bila hata aibu yoyote.

Abdallah humeyd anawavunjia heshima watu kistaarabu kwa sababu ya ongea yake ya taratibu lakini na yeye ni walewale tu.

Naomba mfikishieni salamu ndio maana kila siku masalafi wanakatana na mapande na kutahadharishana kwa sababu wamekosa hekima na busara na swabru katika ulinganizi.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy

Wamewaambia ili msijue ukweli kua dini za uongo hapo sio muda utaenda kubishana mambo ya mpira
 
Ivi ndugu yako au mzazi wako angekufa kwenye yale maandamano ya sheikh ponda leo hii ungesema hivi?
Ndugu yangu unataka kuniambia mzazi wangu akifa kwenye maandamano anakuwa na dhambi kuliko yule aliyemuua huyu mzazi katika maandamano hayo ?

Je mzazi wangu akifa kwenye maandamano haandikiwi kwamba kadhulumiwa kwa sababu hajafanya kosa linalopaswa kuuwawa ?
 
Hekima na usalafy wa kina mafuta na humeyd ni baina ya mashariki na magharibi.

Kuna yule mzee wa mombasa anaitwa abuu hashim fuatilia alipokuwa anamraddi salim barahiyan kuhusu kuramba tupu hukmu yake,kamkejeli sana salim barahiyan,abuu hashim ni mtu mzima lakini anakosa busara na ustaarabu.

Juzi juzi abdallah humeyd kamsema ndugu othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli tena asema kwa dharau na kejeli,ilikuwa inatosha asemw kwamba kisa hiki hakikuthibiti lakini akaona haitoshi akamzulia mwenzie uongo,bila kujua pengine mwenzie hajafikiwa na hoja juu ya kisa cha musa kutaka kupewa funguo ya rizki.

Abdallah humeyd kwa vile ni salafi akamsema kwamba othman maalim ni mtu muongo bila hata aibu yoyote.

Abdallah humeyd anawavunjia heshima watu kistaarabu kwa sababu ya ongea yake ya taratibu lakini na yeye ni walewale tu.

Naomba mfikishieni salamu ndio maana kila siku masalafi wanakatana na mapande na kutahadharishana kwa sababu wamekosa hekima na busara na swabru katika ulinganizi.
ivi ww huoni upuuzi na ujinga aloongea huyo barahiyani ? sasa kwanini asiraddiwe kwa nguvu zote
Mtume mwenyewe aliambiwa lau atazidisha kitu kidogo tu katika hii dini angekatwa mshipa wa shingo sasa huyo barahiyani yy ni nani ata asiambiwe alichokifanya sicho
 
kijana acha kufuata mkumbo kaa chini soma dini yako mna siku ya mwisho kila mtu na mzigo wake
Najua masalafy mnaposema watu wakae chini wasome dini mnakusudia tusome usalafy kwa masalafy.

Hamkusudii kitu kingine kwa sababu mnaona kila asiyekuwa salafy ni mpotevu,hii ndio manhaj ya kila salafy wa kweli.

Sasa sisi tunasoma dini ila hatusomi usalafia wa kugawa watu makundi,tunasoma dini na kuielewa ili tuifanyie kazi na sio kutengeneza vikundi maalumu vya fitina katika jamii ya watu.
 
Ndugu yangu unataka kuniambia mzazi wangu akifa kwenye maandamano anakuwa na dhambi kuliko yule aliyemuua huyu mzazi katika maandamano hayo ?

Je mzazi wangu akifa kwenye maandamano haandikiwi kwamba kadhulumiwa kwa sababu hajafanya kosa linalopaswa kuuwawa ?
kijana Elimu yko ipo chini sanaaa
subiri nikuelimishe kidogo
Banii israel walikua wanadhulumiwa na firauni miaka na miaka lkn Qur'an haituoneshi kua walifanya maandamano kupinga huo udhalimu mpk alipokuja Nabii Mussa ndio wakakombolewa

Sasa nikuulize ww wapi katika Uislamu maandamano yameruhusiwa?
mna lile swali langu la juu pia hujalijibu
 
ww huoni upuuzi na ujinga
Hii ni kukosa adabu,wewe bado ni kijana mdogo huwezi kuita upuuzi ule kaweka dalili na hoja zenye akili.

Abuu hashim kaweka maneno ya wanachuoni tu kuharamisha jambo hilo,hii dini insharamishwa vitu kwa kauli za wanachuoni bila dalili sio ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom