Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Umenena vyema mkuu kwann uniite kafiri kwa dini uliyoletewa?
Hutaki kuitwa hivyo badili dini acha kutuletea uswahili wa akina Jiwe angavu eti dini uliyoletewa ,,wewe una nn kwako ulichokivumbua mwenyewe !!!hata boxer uliyovaa umeletewa !!!
 
kijana Elimu yko ipo chini sanaaa
subiri nikuelimishe kidogo
Banii israel walikua wanadhulumiwa na firauni miaka na miaka lkn Qur'an haituoneshi kua walifanya maandamano kupinga huo udhalimu mpk alipokuja Nabii Mussa ndio wakakombolewa
Nakuuliza hivi mtu anayefanya maandamano katika uislamu hukumu yake ni kuuwawa ?

Na mtu anayemuua mfanya maandamano hapati madhambi ?

Majawabu yangu yapo kwenye hayo maswali ukiyajibu.
 
Kwhy
Hii ni kukosa adabu,wewe bado ni kijana mdogo huwezi kuita upuuzi ule kaweka dalili na hoja zenye akili.

Abuu hashim kaweka maneno ya wanachuoni tu kuharamisha jambo hilo,hii dini insharamishwa vitu kwa kauli za wanachuoni bila dalili sio ?
Unawakataa wanawachuoni au sio ??....
 
Sasa nikuulize ww wapi katika Uislamu maandamano yameruhusiwa?
Unataka kuniambia kama maandamano hayajaruhusiwa katika uislamu hiyo maana yake ni kwamba ni halali muislamu aliyeandamana kuuliwa sio ?
 
Najua masalafy mnaposema watu wakae chini wasome dini mnakusudia tusome usalafy kwa masalafy.

Hamkusudii kitu kingine kwa sababu mnaona kila asiyekuwa salafy ni mpotevu,hii ndio manhaj ya kila salafy wa kweli.

Sasa sisi tunasoma dini ila hatusomi usalafia wa kugawa watu makundi,tunasoma dini na kuielewa ili tuifanyie kazi na sio kutengeneza vikundi maalumu vya fitina katika jamii ya watu.
Kumfuata mtume na maswahaba zake ndio kugawa watu?
Nahis ata maana ya Salafi huijui
Jamii zetu zilishazoea kufuata mambo bila ya dalili from Qur'an na Sunnsh ndo mna leo hii mkiambiwa mfuate kma dini inavotaka mnaona mnabaguliwa

mm nilikua sijui kma khitma,Arobaini na Maulid ni bid'aa mpk walipokuja hawa watu kutuelimisha
 
Kwhy

Unawakataa wanawachuoni au sio ??....
Wanawachuoni wanapoharanisha jambo bila dalili inatakiwa tuwakubali au tuwakatae ?

Nikikupa fatawa ya mwanachuoni wa kishia anayeruhusu kumuingilia mwwnamke nyuma utaikubali kwa kuwa tu ni mwanachuoni ewe salafi ?
 
Hii ni kukosa adabu,wewe bado ni kijana mdogo huwezi kuita upuuzi ule kaweka dalili na hoja zenye akili.

Abuu hashim kaweka maneno ya wanachuoni tu kuharamisha jambo hilo,hii dini insharamishwa vitu kwa kauli za wanachuoni bila dalili sio ?
Kwa akili yko ndogo tu embu nenda kafanye ww hlf tuone nafsi yko kma haitokukatalia hilo jambo

hlf embu tuwekee huo ushahidi alouweka huyo barahiyani
 
Nakuuliza hivi mtu anayefanya maandamano katika uislamu hukumu yake ni kuuwawa ?

Na mtu anayemuua mfanya maandamano hapati madhambi ?

Majawabu yangu yapo kwenye hayo maswali ukiyajibu.
Yni najua huwezi kujibu yale maswali mna Elimu yko ni ndogo mnooo
sasa ww nani kakwambia kua swali hujibiwa kwa swali
 
Wanawachuoni wanapoharanisha jambo bila dalili inatakiwa tuwakubali au tuwakatae ?

Nikikupa fatawa ya mwanachuoni wa kishia anayeruhusu kumuingilia mwwnamke nyuma utaikubali kwa kuwa tu ni mwanachuoni ewe salafi ?
Yni kila nikikwambia kua una Elimu ndogo kubali kijana

Sasa Mashia ni waislamu wale kwani ?
Wao watukana maswahaba mpk mtume wanamzulia Uongo
 
Muislamu gani hamfuati mtume na maswahaba ?

Twende na hoja ndugu yangu,relax

Unataka kusema watu wote wanaokubali maulidi kgitma ni wajinga hakuna wanachuoni wasomi walioruhusu mambo hayo ?
Nikuulize kidogo tu kma kweli unamfuata mtume na maswahaba wake

Mtume kafiliwa na wakeze,watoto zake,Jamaa zake wapi uliona mtume akifanya khitma au Arobaini hebu lete hadithi inayosema kua Mtume hyo kayafanya
 
Yni najua huwezi kujibu yale maswali mna Elimu yko ni ndogo mnooo
sasa ww nani kakwambia kua swali hujibiwa kwa swali
Akhi tambua Jambo moja Sufaher anahitaji kubainishiwa baina ya haki na batili ,,bidaa na mapote yake ...

Halafu bado anaitakid kuwa mashia Ni waislamu yaan hajui kitendo Cha mashia kumtukuza Aliy( radhiallahu anhu) na kumtweza mtume Swalallahu alayh Wasallam kuwa ni ukafiri Tena wa wazi kabisa
 
Yni najua huwezi kujibu yale maswali mna Elimu yko ni ndogo mnooo
sasa ww nani kakwambia kua swali hujibiwa kwa swali
Aliyeanza kujibu swali kwa swali ni mtume,je Mtume hajui kujibu kama mimi ?

Katika hadithi ambayo mayahudi walimtolea mtume salamu mbaya mtume akawajibu "waaleykum"

Mama aisha akaongeza maneno ya laana kwa wale wayahudi kwamba "na nyie Laana za Allah ziwe juu yenu"

Mtume akamkataza mama aisha kwamba usiwajibu hivyo hao.

Mama aisha akamuuliza mtume "huoni waliyokuambia ewe mtume ?

Mtume akajibu " nawewe huoni nilivyowajibu ewe aisha ?(kamjibu kwa swali)

Umeona hapo mtume kajibu swali kwa swali ndugu yangu ?

2.
Mtume aliwaambia masahaba zake kwamba "hata mtu akimuingilia mmoja wenu mkewe basi anapata thawabu.

Masahaba wakastaajabu wakamuuliza mtume "yaani mmoja wetu anapata matamanio anamuendea mkewe kisha katika starehe hiyo anapata ujira pia ?

Mtume akawajibu kwa SWALI "je munaonaje lau mtu huyo akiweka tupu yake katika haramu,atapata madhambi ?"

Hiyo ni baadhi ya mifano tu ambayo mtume wetu alijibu maswali kwa kutumia maswali,wewe nani mbele ya mtume ndugu yangu ?
 
ww jibu swali kma ni mkweli
 
Nikuulize kidogo tu kma kweli unamfuata mtume na maswahaba wake

Mtume kafiliwa na wakeze,watoto zake,Jamaa zake wapi uliona mtume akifanya khitma au Arobaini hebu lete hadithi inayosema kua Mtume hyo kayafanya
Unaposema mtu hamfuati mtume kwa kuonesha mambo anayoyafanya ambayo hakufanya mtume,basi na mimi nakuonesha kwamba wanamfuata mtume kwa kufanya mambo ambayo mtume aliyafanya.

Hao wanaofanya khitma wanafunga je haitoshi kusema wanamfuata mtume kwa kufunga ?

Wanasali,haitoshi kusema wanamfuata mtume kwa kusali ?

Wanaenda hijja je si halali kusema wanamfuata mtume kwa kwenda kwao hija ?

Wanatoa sadaka,kwa hiyo sio halali kusema wanamfuata mtume kwa kutoa kwao sadaka ?
 
Mtume kafiliwa na wakeze,watoto zake,Jamaa zake wapi uliona mtume akifanya khitma au Arobaini hebu lete hadithi inayosema kua Mtume hyo kayafanya
Hata alipofiwa na Swahaba wake Jafary (radhiallahu anhu) ..aliwaamrisha maswahaba wawafanyie chakula watu wa Jafari kwani wamepatwa na Jambo la kuwashughulisha ...haya mambo ya khitima na arobain Hawa jamaa zetu hawataki kabisa kuacha..
 
ww jibu swali kma ni mkweli
Umekubali kwambasio mimi bali hhata mtume alijibu swali kwa swali ndugu yangu ?

Vipi ukataraaja kwa kusema kwamba hata swali hujibiwa kwa sswali ?
 
Aliyeanza kujibu swali kwa swali ni mtume,je Mtume hajui kujibu kama mimi ?

Katika hadithi ambayo mayahudi walimtolea mtume salamu mbaya mtume akawajibu "waaleykum"

Mama aisha akaongeza maneno ya laana kwa wale wayahudi kwamba "na nyie Laana za Allah ziwe juu yenu"

Mtume akamkataza mama aisha kwamba usiwajibu hivyo hao.

Mama aisha akamuuliza mtume "huoni waliyokuambia ewe mtume ?

Mtume akajibu " nawewe huoni nilivyowajibu ewe aisha ?(kamjibu kwa swali)

Umeona hapo mtume kajibu swali kwa swali ndugu yangu ?

2.
Mtume aliwaambia masahaba zake kwamba "hata mtu akimuingilia mmoja wenu mkewe basi anapata thawabu.

Masahaba wakastaajabu wakamuuliza mtume "yaani mmoja wetu anapata matamanio anamuendea mkewe kisha katika starehe hiyo anapata ujira pia ?

Mtume akawajibu kwa SWALI "je munaonaje lau mtu huyo akiweka tupu yake katika haramu,atapata madhambi ?"

Hiyo ni baadhi ya mifano tu ambayo mtume wetu alijibu maswali kwa kutumia maswali,wewe nani mbele ya mtume ndugu yangu ?
Haya hpa maneno Ya Swahaba Aliy
IMG-20220527-WA0009.jpg
 
Umekubali kwambasio mimi bali hhata mtume alijibu swali kwa swali ndugu yangu ?

Vipi ukataraaja kwa kusema kwamba hata swali hujibiwa kwa sswali ?
Yni nishakujua kua Elimu yko ni ndogo yle ya Msingi huyajibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom