Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Wanachofanya ni utobu wa adabu wale watu,hata kama wanamazuri yao lakini mabaya yao nao wasemwe pia.

Sio kisa wanajifanya wanakataza bidaa basi waachwe tu hata kama wanakuwa hawana adabu,hapana.

Huyu abdallah humeyd juzijuzi katoka kumuita othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli kweli,kisa othman maalim katoa kisa cha nabii mussa ambacho pengine hakikuthibiti.

Anapomuita mtu kama othman maalim kwamba ni muongo tena kwa kejeri na kiburi hiyo ni ishara ya utovu wa nidhamu wake kwa mashekhe wenzie.

Hata kama hawakubaliani katika mambo lakini adabu lazima itangulie,so nahitimisha kwa kusema kwamba genge la kassim mafuta na wenzie achilia mbali faida wanazotoa lakini wana ukosefu mkubwa wa adabu kwa waislamu wenzao.
Hata hilo mimi nimeliona kwa namna fulani ya ukosoaji wao haupo sawa kabisa hata kama wana point ni ngumu sana mkosolewaji kukuelewa na kutilia maanani kile ulicho kosolewa japo ni masheikh zangu hapa kwa hapa mtaani ila kwa hilo siko pamoja nao kabisa.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Aliyeelewa anieleweshwe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanachofanya ni utobu wa adabu wale watu,hata kama wanamazuri yao lakini mabaya yao nao wasemwe pia.

Sio kisa wanajifanya wanakataza bidaa basi waachwe tu hata kama wanakuwa hawana adabu,hapana.

Huyu abdallah humeyd juzijuzi katoka kumuita othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli kweli,kisa othman maalim katoa kisa cha nabii mussa ambacho pengine hakikuthibiti.

Anapomuita mtu kama othman maalim kwamba ni muongo tena kwa kejeri na kiburi hiyo ni ishara ya utovu wa nidhamu wake kwa mashekhe wenzie.

Hata kama hawakubaliani katika mambo lakini adabu lazima itangulie,so nahitimisha kwa kusema kwamba genge la kassim mafuta na wenzie achilia mbali faida wanazotoa lakini wana ukosefu mkubwa wa adabu kwa waislamu wenzao.
mkuu unataka mtu muongo asemwe ni mkweli kisa ni mzee? quran yenyewe watu waongo imewataja kuwa ni waongo.Utaweza kweli kubainisha haki na kuacha kuridhisha watu?
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Sio kuzozana tu, hawa jamaa ndio vinara wa kuwadhalilisha na kuwavunjia heshima mpaka masheikh ambao wametofautiana katika baadhi ya mambo.
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Umenena mkuu
 
mkuu unataka mtu muongo asemwe ni mkweli kisa ni mzee? quran yenyewe watu waongo imewataja kuwa ni waongo.Utaweza kweli kubainisha haki na kuacha kuridhisha watu?
“Na waambie waja wangu waseme daima maneno yaliyo mazuri. Maana Shetani huchochea ugomvi baina yao. Hakika shetani kwa wanaadamu ni adui aliye dhahiri”. (17:53)

Hivyo Muislamu hana budi kuzungumza na watu kwa maneno mazuri ya heshima. Maneno mazuri ya heshima yanajenga na kuzidisha upendo kati ya watu.
Maneno mazuri ya heshima ni ngao ya kumzuilia shetani asiingilie kati na kuleta migongano na kutoelewana.
Ni katika msingi huu tunaamrishwa tuulinganie Uislamu kwa hekima na kwa mawaidha mazuri:

“Walinganie (watu) katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako ndiye anayemjua aliyepotea katika njia yake naye ndiye anayewajua walioongoka ”. (16:125)

Hao masheikh wenu wanakosa adabu kwa masheikh wenzao waliotofautiana katika baadhi ya mambo.
Mwanzo ilikua ni baina yao na masheikh wanaowaita wa biddaah, ila fitna yao sasa hivi imewagaukia mpaka wenyewe kwa wenyewe sasa hivi mnavunjiana heshma na kudhalilishana.

Kuweni na adabu na hishma kwa masheikh mliotofautiana nao kwa baadhi ya mambo, haya masuala ya ikhtilaf yalikuwepo tokea mtume ﷺ bado yu hai na hayataisha mpaka siku kinasimama kiama.
 
Daawa salafiyyah inayodaiwa na hawa akina humeyd na mafuta ni daawah feki.

Daawa hii ya salafiyah ni daawa iliyokuja kuwagombanisha watu,ushahidi wa hilo mpaka wao kwa wao wanagombana.

Leo mafuta ana kundi lake.

Akina khamis ame wana kundi lao.

Akina abuu muawiyah wana kundi lao.

Makundi kibao ndani ya salafy alafu mtu anataka kudanganya kwamba hii daawa inalingania kwenye umoja,wakati huo wao wenyewe wanashindwa kumaintain huo umoja.

Ijapokuwa wanazo heri kadhaa katika jamii ila nao wanapaswa wabainishwe kama wanavyowabainisha wenzao.
 
kijana acha kufuata mkumbo kaa chini soma dini yako mna siku ya mwisho kila mtu na mzigo wake
 
Uislamu ni diini ya hekima na ustaarabu sio kama mnavyotaka nyie vijana wa kisalafia.
kwaio ww ulikua unaona wanayoyafanya akina sheikh ponda ni.mazuri?

watu wangpi wamepoteza wazazi kisa ujinga wa hao unowatetea?
 
uislam na waislam ni dini dhaifu na yenye waumini dhaifu sana(sina maana wasiojiweza)yaani wasio wavumilivu.

kwa maana hii ni kama mtu anayeishi nyumba za vioo akaanzisha ugomvi wa mawe nyumba nyingine ya mbao.
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Jifunze kujikita kwenye mada. Shida yenu huwa mnawachokoza Masalafy,masalafy wakijibu sababu huwa wanajibu kielimu mnaanza kutafutana, kaeni kimya muone kama masalafy watasema.

Kinginez, nani amekwambia kwamba masalafy hawashughuliki na mambo yao ?

Sasa acheni hizi mambo. Mtoa mada ametoa uzi mzuri sana, ni bora ungejikita katika uzi.
 
kwaio ww ulikua unaona wanayoyafanya akina sheikh ponda ni.mazuri?

watu wangpi wamepoteza wazazi kisa ujinga wa hao unowatetea?
Katika mtu ambaye huwa sipendi kujadiliana nae na huwa namkwepa sana ni huyu.

Mpotoshaji na mjuaji sana. Umetoa mada nzuri sana, ila kwa chuki na ususuavu wake analeta mambo ambayo hayana haja kabisa.
 
Wanachofanya ni utobu wa adabu wale watu,hata kama wanamazuri yao lakini mabaya yao nao wasemwe pia.

Sio kisa wanajifanya wanakataza bidaa basi waachwe tu hata kama wanakuwa hawana adabu,hapana.

Huyu abdallah humeyd juzijuzi katoka kumuita othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli kweli,kisa othman maalim katoa kisa cha nabii mussa ambacho pengine hakikuthibiti.

Anapomuita mtu kama othman maalim kwamba ni muongo tena kwa kejeri na kiburi hiyo ni ishara ya utovu wa nidhamu wake kwa mashekhe wenzie.

Hata kama hawakubaliani katika mambo lakini adabu lazima itangulie,so nahitimisha kwa kusema kwamba genge la kassim mafuta na wenzie achilia mbali faida wanazotoa lakini wana ukosefu mkubwa wa adabu kwa waislamu wenzao.
Fuata haki shekh achana na mapote ya ubakwata ,,,mkiambiwa fuata Sunna na Qurani mnakuwa wakali...hiyo Ni dalili ya kuwa mtu wa bidaa ...
 
Daawa salafiyyah inayodaiwa na hawa akina humeyd na mafuta ni daawah feki.

Daawa hii ya salafiyah ni daawa iliyokuja kuwagombanisha watu,ushahidi wa hilo mpaka wao kwa wao wanagombana.

Leo mafuta ana kundi lake.

Akina khamis ame wana kundi lao.

Akina abuu muawiyah wana kundi lao.

Makundi kibao ndani ya salafy alafu mtu anataka kudanganya kwamba hii daawa inalingania kwenye umoja,wakati huo wao wenyewe wanashindwa kumaintain huo umoja.

Ijapokuwa wanazo heri kadhaa katika jamii ila nao wanapaswa wabainishwe kama wanavyowabainisha wenzao.
kuna jambo kubwa sana bado hujalielewa nakushauri ukae chini usome.
 
Jifunze kujikita kwenye mada. Shida yenu huwa mnawachokoza Masalafy,masalafy wakijibu sababu huwa wanajibu kielimu mnaanza kutafutana, kaeni kimya muone kama masalafy watasema.

Kinginez, nani amekwambia kwamba masalafy hawashughuliki na mambo yao ?

Sasa acheni hizi mambo. Mtoa mada ametoa uzi mzuri sana, ni bora ungejikita katika uzi.
yaani wanataka waharibu uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom