Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Kama ni kuuliza basi maswali ni mengi sana katoka Quran, kwa mfano tu Mtu asiyejua kusoma wala kuandikia adondoshewe kitabu puu...!

Mtoto mdogo wa miaka 9 aolewe na Mtume wa mungu.

Ukatazwe kutumia kilevi duniani lakini ukakute mifereji ya mvinyo huko akhera na wanawake wa kuwagonga

Kwahiyo Mbingu yenu ni ya kwenda kufanya anasa [emoji23][emoji23]
Qulaani haijaficha imeeleza wazi kuwa ulevi ni uchafu na Kazi ya shetani na imetahadharisha watu wajiepushe![emoji2305]
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - MAIDA - 90 ]
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

Sasa nashangaa hii pepo ni maskani ya nani??
[emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535]
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ulevi kwa kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?

Aje hapa Akhi atujibu!
 
hlf m ndo mna ata nimekupotezea mbona wapenda kupotosha ww Anza na aya za juu basi kma ww ni msema kweli

78.Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka.

79. Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo kuwa wakiyafanya!

Anza kuweka tafsiri hizo hpo hlf tuone nani msema kweli
Tafsir gani unayo taka wakati aya hazihitaji sherehe??
 
Qulaani haijaficha imeeleza wazi kuwa ulevi ni uchafu na Kazi ya shetani na imetahadharisha watu wajiepushe![emoji2305]
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - MAIDA - 90 ]
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

Sasa nashangaa hii pepo ni maskani ya nani??
[emoji116][emoji2535][emoji116][emoji2535]
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ulevi kwa kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?

Aje hapa Akhi atujibu!
Namsubiri kwa hamu kwaajili ya ufafanuzi zaidi
 
Kijana hatutaki matusi hpa mna tukianza kuongea hpa kuhusu ayo mambo apo Mombasa ndo kumechafuka kwaio tulia hatutaki matusi hpa

Jibu hoja kwa hoja ukishindwa nyamaza tu

Wewe siulisema umenikimbia, hehehe!!! Hapo nilifanya kumjibu mbinukaji mwenzako....
 
Ndo mshangae apo sasa kwanini Dunia yoote inamkubali huyo unomponda
Hlf mbona biblia inasema mitume walizini dah yni mpk mumefika stage ya kuwazulia mitume wa Mungu uchafu wa zinaa

M siongei sana naongea na facts ishi nayo iyo uyo unomponda lkn the first
View attachment 2254579
Kama ni kweli hicho ulicho Andika!; Hakika Kinaimarisha Imani yangu kwa Yesu Alikwisha Fundisha!
[emoji116][emoji116]
Mathayo 7
13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.

14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Kwani hapo si ameweka nukuu ya Quraan? Au ni tafsiri hiyo?
 
Masha'Allah!
Kweli kuna majibu na kejeli huwa yanaumiza sana lakini binafsi huwa naupiga moyo konde nikishaona matusi na kejeli huwa napita bila kusema chochote kwa kuwa najua hwaabudu ninachokiabudu.

Qur'an 109, Al-Kafirun - disbelievers:​

Mtu akiambiwa "wewe ni usiyeamini katika Uislam" hawezi chukia au akiitwa disbeliever ataona kawaida ila neno hilo likitamkwa kwa Kiarabu inakuwa shida... 🙄
Shukran mkuu
Achana na hawa wanaojibizana kwa kejeli mimi kuna jamaa hpa nishaona ni mpuuzi tu kwaio ata simjibu mna namjua vizuri tu ana ID nyingi humu ila maongezi yke tu namjua
 
Angalia jinsi alivyokureply hapo utagundua akili yake ipo vipi na ingekuwa fedheha kubwa mimi kuwa dini moja na mtu mwenye ujinga wa kiwango chake.
Mnafiki we!
[emoji116][emoji116]
Mathayo 7
1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

2 Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.

1 Wakorintho 4
1 Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.

2 Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu.

3 Lakini, kwangu mimi, si kitu kabisa nihukumiwe na ninyi, wala kwa hukumu ya kibinadamu, wala sijihukumu hata nafsi yangu.

4 Maana sijui sababu ya kujishitaki nafsi yangu, lakini sihesabiwi haki kwa ajili hiyo; ila anihukumuye mimi ni Bwana.

5 Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.

Wagalatia 6
3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.

4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake.

5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe.
 
tungekuwa na waislamu asilimia 55 kama wewe ingekuwa jambo zuri sana. nadhani wewe umesoma au una exposure huna mihemko. mimi huwa nashangaa sana kuwa why mtu unapanick eti katukanwa mtume unataka kuua mtu? why? wakristo Yesu wao anatukanwa usiku na mchana wala hawahangaiki.. wanaendelea na maisha yao na wanaendelea kusali wakimwabudu Mungu wao. nadhani sasa tuanze nasi kuelimika tuachane na ujinga ambao baadhi ya watu wanataka kutupandikiza tuonekane sis ni very violent
 
Ukisoma Uislamu haswaa kma alofundisha Mtume mihemko ya maandamano utaona ni upuuzi tu wanofnya hayo hawana elimu au wanafuata matamanio yao
 
kijana acha kufuata mkumbo kaa chini soma dini yako mna siku ya mwisho kila mtu na mzigo wake
Huyu mimi nilimuacha zamani kuna kipindi niliwahi kujadiliana mada fulani nikaona amepeleka mbele sana matamanio yake kuliko misingi ya elimu. Shida ni mjuaji sana mpaka amekuwa mjinga na si mfatiliaji wa mambo, yeye anaishia kutaja majina ya masheikh na maduati tu.

Anasahau ya kuwa Uislamu asili yake umekuja kufarakanisha kati ya haki na batili.

Hizo kadhia alizo zitaja kuhusu Masalafi kutofautiana, hili ni jambo la kawaida hata maswahaba walitofautiana lakini haikumaanisha ya kuwa wanaleta faraka, bali yupo aliyekosea na hataki kuifata haki, baada ya nasaha kupita ndiyo anabainishwa kwa watu ili wamjue.

Kadhia za kina Khamis Ame, kina Abuu Muawiyah zinajilikana wazi, laiti angekuwa tu na msingi wa Qur'aan au kuijua Qur'aan asingeandika haya mambo.

Kadhia ya kina Khamis Ame imeanzia Yemen Dammaj kwa Yahya al Haajuriy, na sisi tumefata muongozo wa maulamaa juu ya kadhia hiyo. Sasa katika dini yetu tuna miongozo tuliyo pewa hasa kwa watu ambao wanakataa haki na kueneza batili, kwanza ni kuwabainisha.

Kwahiyo anaposema ya kuwa Kina Sheikh Qassim Mafuta na Sheikh Abul Khatwaab al Humeidy, Allah awahifadhi wana dawa feki kisa yeye elimu yake ndogo na anaona wanafarakanisha wetu, sisi tunasema huo ndiyo Uislamu. Uislamu umekuja kufarakanisha haki na batili, na kuzibainisha.
 
Ata mm nimeangalia comments zake nyingi nikajua ni jahil tu hana alijualo kwenye dini zaidi ya kubishana na ukimuuliza swali ety anakwambia swali hujibiwa kwa swali kwakua kaona hana jibu
Achana nae uyo ni mjinga tu uyo
 
Huyo allah amewaambia nyote mumshabikie Putin kwenye mauaji anayofanya Ukraine, mumejitoa ufahamu ni kama mnahubiriwa kwenye misikiti.
Mnadhani kwa kumuabudu Putin mnakomoa Marekani.
 
Huyo allah amewaambia nyote mumshabikie Putin kwenye mauaji anayofanya Ukraine, mumejitoa ufahamu ni kama mnahubiriwa kwenye misikiti.
Mnadhani kwa kumuabudu Putin mnakomoa Marekani.

Wakati iraq na libya zinavamiwa na na kuuawa viongozi wao+innocent people kuna watu wasiojitambua/wenye chuki walikua upande wa marekani/wazungu kwa maana walifurahia mauwaji hayo, ni upumbavu mtupu!! Leo amevamiwa ukraine ambae ni kibaraka wa marekani/wazungu mnalalamika/mnasikitishwa
 
Huyo allah amewaambia nyote mumshabikie Putin kwenye mauaji anayofanya Ukraine, mumejitoa ufahamu ni kama mnahubiriwa kwenye misikiti.
Mnadhani kwa kumuabudu Putin mnakomoa Marekani.
We jamaa nahisi fyuzi zako zimechomoka mahala sio bure ww

Sisi kma Waislam tupo mbali na vita kma ivo sasa hpa nani aloshabikia ivo vita

Embu kwanza kapambne na ukame huko kwenu
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Kwa hakika mashaallah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom