Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa


Otterhound adriz FaizaFoxy
Mkuu all ndo kitu gani hicho?
 
Hapa unajitetea tu. Niambie hasa ni katika Kanisa gani umewahi kusikia mahubiri ya kuwazungumzia Waislam na ni lini hasa?

Mimi naweza kukutajia mihadhara mingi ya kiislam ikiusema Ukristo vibaya na hata katika redio zenu pia.

Huwezi kukuta redio ya kikristo ikiwa na muda wa kuwaongelea ninyi

Nina uhakika na hayo niliyoyaandika.
 
Unafiki ndio zao hawa, hakuna yeyote humtukana allah wao, kile hutendeka ni watu huhoji kwanini huyo allah hukaa asubiri apiganiwe na binadamu, mara waue watu makanisani kama kule Nigeria, mara wajilipue mabomu.
Endapo mtakaa chini na kuusoma Uislamu hamtoongea hizi propaganda
 
Matendo yenu ndio yatatuwezesha kuujua uislamu sio hivyo vitabu vya waarabu.
Mnakata watu vichwa kwa kuwalazimisha huo uislamu, kujilipua mabomu na kuuwa watu makanisani na vituko vingine vingi mpaka mnamzidi shetan kwa vituko.
Siwezi kubadilisha kilichomo kichwani kwako ila Allah anaweza
 
Endapo mtakaa chini na kuusoma Uislamu hamtoongea hizi propaganda
Mungu Mwenyezi Mwenyewe Amemsomesha Mwanadamu kupitia Dhamiri Njema Aliyo Muumbia Ndani yake!
Kama mpaka ukae na kusoma uislamu ndipo ufahamu hili Jema na Hili ni Baya Hakika Ujue kwamba Dhamiri Njema Aliyo Kuumbia Mwenyezi Mungu Ndani yako IMEKUFA!
 
Mtu anayesema fulani ni ndugu yake kisa ni wa imani yake. Asiye wa imani yake sio ndugu yake.

Mtu anayesema mtu wa huko bara asia hata kama ni rangi tofauti lakini anamuona wa maana kuliko wa nchi yake tofauti ikiwa ni imani zao tu.

Mtu anayekashifu mwenzake na kumuita kafir kisa tu hawana mrengo mmoja wa kiimani.

Mtu kutwa kuita wenzake wagalatia...

Mtu wa namna hii anaonyesha dhahiri chuki aliyonayo moyoni mwake kisa tu imani yake na mwenzake haziendani.

Mtu wa namna hii nikishamfaham sina mda nae.
 
Ukiijua neema ya Uislamu utajua kwanini nakwambia ivo

Hamjui hata nini maana ya huo msamiati, mikono yenu imejaa damu, kwanza waarabu waliowsletea hiyo dini ndio hatari.
 
Hamjui hata nini maana ya huo msamiati, mikono yenu imejaa damu, kwanza waarabu waliowsletea hiyo dini ndio hatari.
Hakuna kulazimishana katika dini

endelea na unachokiamini ila ipo siku utakuja kujua hya ninsyokuambia leo
 
Hakuna kulazimishana katika dini

endelea na unachokiamini ila ipo siku utakuja kujua hya ninsyokuambia leo

Sio ninacho amini, ni kile tunashuhudia, mnalazimisha watu dini ya waarabu na hata wenyewe hawawataki nyie kwanza
screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
 
Wanachofanya ni utobu wa adabu wale watu,hata kama wanamazuri yao lakini mabaya yao nao wasemwe pia.

Sio kisa wanajifanya wanakataza bidaa basi waachwe tu hata kama wanakuwa hawana adabu,hapana.

Huyu abdallah humeyd juzijuzi katoka kumuita othman maalim kwamba ni mtu muongo kweli kweli,kisa othman maalim katoa kisa cha nabii mussa ambacho pengine hakikuthibiti.

Anapomuita mtu kama othman maalim kwamba ni muongo tena kwa kejeri na kiburi hiyo ni ishara ya utovu wa nidhamu wake kwa mashekhe wenzie.

Hata kama hawakubaliani katika mambo lakini adabu lazima itangulie,so nahitimisha kwa kusema kwamba genge la kassim mafuta na wenzie achilia mbali faida wanazotoa lakini wana ukosefu mkubwa wa adabu kwa waislamu wenzao.
Upo sahihi sheikh.....Adab tul khitilaf.....kuna masiala ambayo kwamba maulama walikhitalafiana na kuna masiala ambayo kwamba maulama wa madhehebu yeto manne(wahanifa~imam Abu hanifa, wahambaria~imam ahamad ibn hambari, mashafy~imam shafy, malkia~imam malk) walikubaliana

Hivyo kwenye masiala ambayo kwamba yana khilafu ndani yake tukhitalafiane kwa adabu kwa sababu kimsingi hatujaanza kukhitalifiana ummat Muhammad (saw) tulio zama hizi Bali hata wema waliotangulia wamekhitalafiana

Ikiwa hawa wakisema wafuata fahamu za wema waliotangulia hata kundi lile pia lafuata wema waliotangulia

Au wema waliotangulia(salaf) ni kundi lile tu?na kundi lile sio wema wema waliotangulia?

Ikiwa wewe wamfuate imam Ahmad Mimi nikamfuata imam shafy, kwani wote si ni wema waliotangulia jamani??

Inabidi pia tufahamu fahamu za wema waliotangulia tunazozifuata pia wema waliotangulia pia kuna masiala walikhitalafiana

Ama wale wanaosema sisi tufuata dalili (kitabu na sunna) hali ya kuwa wote wafuata dalili kwani hizo dalili wazifuata wao tu wengine hawazifuati dalili

hamna muislam anaemfuata imam(awe ni imam shafy, malk,hamad, Abu hanifa) Bali waislam wote tunamfuata ALLAH na mtume (saw) wake Bali tunaafikiana na (fiqi) au fatwa au jinsi hawa maimam walivyokuwa wakihukumia mambo ya kisheria kwa kufuata kitabu na sunna


Pia nukta nyingine ambayo in shaa Allah ningependa niigusie ni kuwa kukhitalafiana sio kukosana wala uadui wala chuki Bali ni kuwa jawabu tofauti na mwenzako

Mfano kwa madhehebu ya imam shafy swalatul jumaa inaswihi Kama swala itakuwa na waumini wasiopungua 40 Kama sikosei lakini kuna madhehebu inaswihi hata kwa waumin 12

Mola ndio mjuzi siku tukirudi kwake tutajua nani alikuwa karibu na haqi lakini in shaa Allah wote wawe karibu na haqi maana mwenye kujitahidi kwaajili Allah atalipwa

Binafsi nawapenda ndugu wote katika imani na najua wale hawafanyi vile kwa sababu wanadalili zao na wale wafanya vile kwa sabab wanadalili zao na najua masiala ya khilafu yalianza toka kwa maswahaba na hayatoisha sema nikiona kitu nisichokijua huwa najitahidi nijue dalili yake

Binafsi spendelei kumuona muislam akitanguliza itikadi nyingine mbele tofauti na ya karma tawhid hadi ikampelekea kuanza kuwabagua waislam wenzake na kuanza kuwatia waumin katika kufuru...huwa spendi hata kusema wale ni Mara wabakwata Mara answari Mara masalafy sema sometimes inakukuta umefika huko lakini waislam wote ni ndugu jamani tupendane mahaba ya juu pia tuwe na adabu katika kukhitalafiana


Assalam alaykum warahmatullah wabarakatul
 
Unafiki ndio zao hawa, hakuna yeyote humtukana allah wao, kile hutendeka ni watu huhoji kwanini huyo allah hukaa asubiri apiganiwe na binadamu, mara waue watu makanisani kama kule Nigeria, mara wajilipue mabomu.
hii dini ni wapuuzi ndio wanaweza kuielewa ...mungu gani wa kupiganiwa kwa mapanga?!!...wanalazimisha watu wamuelewe huyo mungu wao
 
Sio ninacho amini, ni kile tunashuhudia, mnalazimisha watu dini ya waarabu na hata wenyewe hawawataki nyie kwanza
screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
Na bado propaganda zote izo lkn the fastest growing Religion in the World is ISLAMIC
hao wazungu walokuleteeni huo ukristo wanasilimu kwa kasi kubwa tu
Sasa nyie Sijui mnasubiri nini
 
hii dini ni wapuuzi ndio wanaweza kuielewa ...mungu gani wa kupiganiwa kwa mapanga?!!...wanalazimisha watu wamuelewe huyo mungu wao
Sawaa ila Mzazi.wako akitukanwa hutoenda kumuita ety baba umetukanwa njoo umpige huyu ila kinachotokea sote tunakijua hatuna haja ya kukieleza

hlf tambueni kua Imani ya KIISLAMU ni imani tofauti.kabisa na imani nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom