MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,569
- 53,583
Na bado propaganda zote izo lkn the fastest growing Religion in the World is ISLAMIC
hao wazungu walokuleteeni huo ukristo wanasilimu kwa kasi kubwa tu
Sasa nyie Sijui mnasubiri nini
Hilo neno "propaganda" ndio msamiati mnaofundishwa misikitini, leo hii mnamuabudu Putin na kila ovu analofanya mnasema ni propaganda dhidi yake.
Kwa takwimu zipi fastest growing, labda kichaa ndio aje kujilipua mabomu huko.... waarabu walioleta hiyo dini na wenyewe wameanza kuichoka, wamelegeza baadhi ya uzombi, kule Saudi wanawake wameanza kupata uhuru. Mazombi ya afghnistan tu ndio bado yamekaza.