Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Wewe mimi nakujua, hivyo sitotumia nguvu nyingi kubishana nawe, najua wewe ni mpinga Uislam mkubwa humu, unajivika vazi la mtoa nasaha mwenye busara hapa lakini kwa tunaokujua hautupi shida sababu katika watu wanaouchukia Uislam humu tena kwa ushabiki mkubwa na bila uadilifu wewe ni miongoni mwao. Hata hivyo lengo langu ni kukuweka sawa na kubainisha kisha nishike zangu njia nikikuacha ukigombana na keyboard yako.

Unijue usinijue haijalishi kitu na wala haiongezi au kupunguza chochote, matendo yenu ndio yamewaanika, nchi za kiislamu mabomu na vituko vya hovyo vya kukatana vichwa, badala dini ilete amani inasababisha hofu kote.
 
Wewe mimi nakujua, hivyo sitotumia nguvu nyingi kubishana nawe, najua wewe ni mpinga Uislam mkubwa humu, unajivika vazi la mtoa nasaha mwenye busara hapa lakini kwa tunaokujua hautupi shida sababu katika watu wanaouchukia Uislam humu tena kwa ushabiki mkubwa na bila uadilifu wewe ni miongoni mwao. Hata hivyo lengo langu ni kukuweka sawa na kubainisha kisha nishike zangu njia nikikuacha ukigombana na keyboard yako.
Hili jamaa MK254 anjofanya kutoa nasaha za uadilifu anataka waislamu wawe waadilifu katika mgogoro wa Ukraine wakati yeye ni kinara wa kutokua muadilifu hata kwenye ukweli kuhusu uislamu akiongoza na jinga Jiwe angavu kuna siku alinitaka clip ya Shekhe akikemea mambo yanayoendelea Ukraine nikamuekea yeye na wenzake wakikuta habari inayohusu uislamu tena wanayofanya waislamu kwenye mabaya ni wa kwanza kupost tena akifurahia kama jambo zuri kwa kuzihaki lakini kwenye upande wa mema hajitokezi .

Kwa kupima huyo jamaa naona@MK254 naona sasa amefikia levo ya ujinga kiasi ambacho haifai tena kujadiliana nae labda iwe dharura na naona bora kuacha kama tayari yeye anamawazo yake ambayo hawezi kukubali ya wengine.
 
Mtaandika hizi insha na kujaza humu ila hazibailishi ukweli, mlipaswa kutumia akili zenu kwenye mgogoro wa Ukraine sio kushikiliwa akili kidini, watu wa dini zingine wako balanced, kunao wanaunga Ukraine na kunao wanaunga Urusi na ukiwaskliza kila mmoja anaonekana kutumia akili zake na msimamo wake, ila nyie wote mumemwagika kumuabudu Putin kwenye mauaji anayofanya, hiyo dini yenu mkitaka ieleweke, enendeni kwa matendo.
Kwa sasa hivi jina uislamu kinachojia akilini ni watu wa kujilipua mabomu na chuki chuki zisizoeleweka na kukata mapanga wasio waislamu.
Hata nyie tunaoishi kwa amani ni vile hamjapata fursa ya ktukata vichwa.
 
Sawa
 
Hili jamaa MK254 anjofanya kutoa nasaha za uadilifu anataka waislamu wawe waadilifu katika mgogoro wa Ukraine wakati yeye ni kinara wa kutokua muadilifu hata kwenye ukweli kuhusu uislamu akiongoza na jinga Jiwe angavu kuna siku alinitaka clip ya Shekhe akikemea mambo yanayoendelea Ukraine nikamuekea yeye na wenzake wakikuta habari inayohusu uislamu tena wanayofanya waislamu kwenye mabaya ni wa kwanza kupost tena akifurahia kama jambo zuri kwa kuzihaki lakini kwenye upande wa mema hajitokezi .

Kwa kupima huyo jamaa naona@MK254 naona sasa amefikia levo ya ujinga kiasi ambacho haifai tena kujadiliana nae labda iwe dharura na naona bora kuacha kama tayari yeye anamawazo yake ambayo hawezi kukubali ya wengine.
Eti wanataka uwawekee clip ya Sheikh akikemea yanayoendelea Ukraine. Jinsi gani walivyo wajinga mno hawa watu.

Ni watu wana chuki mno halafu baadhi yao wanajifanya wana busara, ubinadamu na upendo kumbe wameficha chuki, kukosa uadilifu na wamejaa ushabiki. Baadhi yao humu nawajua ndio maana sisumbuki nao. Huwa nawaweka sawa ninapoona kuna haja hiyo kisha natembea mbele tu. Sitaki mabishano nao.
 
Daawa salafiyyah inayodaiwa na hawa akina humeyd na mafuta ni daawah feki.

Daawa hii ya salafiyah ni daawa iliyokuja kuwagombanisha watu,ushahidi wa hilo mpaka wao kwa wao wanagombana.

Leo mafuta ana kundi lake.

Akina khamis ame wana kundi lao.

Akina abuu muawiyah wana kundi lao.

Makundi kibao ndani ya salafy alafu mtu anataka kudanganya kwamba hii daawa inalingania kwenye umoja,wakati huo wao wenyewe wanashindwa kumaintain huo umoja.

Ijapokuwa wanazo heri kadhaa katika jamii ila nao wanapaswa wabainishwe kama wanavyowabainisha wenzao.
Samahani ndugu daaawa ndio Nini
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

[emoji441] SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Huu ushauri ungeanza kufanyiwa kazi na akina Shehe Mazinge.
 
( وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ كَذَٰلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ )

الأنعام (108) Al-An'aam

Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Waislamu wenzangu tujitahidi kutokuropoka ovyo ovyo huenda ukaja kuingia kwenye hii Aya hlf majuto ni kwako
Jaribuni kutokuanzisha mada za uchochezi
Nahisi mkipitia uzi huu mtajifunza mengi
 
Kuchanganya Masheikh Sheikh Abdallah Humeid, Sheikh Qasim Hafidhwahullah na akina Ame, Barahiyaan na mfanowe ukaita wenyewe kwa wenyewe unajibainisha huna ujualo kuwa hapo umechanganya mahzb na Masalafy ndio maana pasisitizwa itangulie elmu kwanza kisha ndio uje kujadili mambo ya dini.
Itapendeza ukiwa msomaji tu sio lazima kila mmoja aandike hususan linapokuja jambo linalohusiana na Uislam
 
Kujadili dini nayo pia ni KADI YA MWALIKO wa umasikini....

Kijana tafuta Maisha achana na hekaya,,,Okoa muda...

Amini unacho amini then Songa mbele,, Mungu unayemuamini atakusaidia hakuna haja ya kulazimisha wengine..

Allah akitukanwa wewe unadhurika na kitu gani.??? au ndio Excuse ya kupoteza muda ubakie Masikini ili baadae uanze kumlalamikia Samia...

Tunzeni Muda
Very good comment
 
Tofautisha kati ya Elimu na dhihaka.
Sisi Waislamu tunalolipinga ni kua Issa sio Mungu ni Mtume wa Allah kma mitume mingine
Mm binafsi nawajua wakristo wanachuki kubwa na Uislamu bcz nimekaa nao na nimeona matendo yao
Kuna siku jamaa yupo kanisani ni katika chuo kikuu hpa Tz ety anasema nyinyi watoto someni mkawatoe akina Rashid katika nafasi zao ,hlf nyie mnalishwa imani potofu toka utotoni kwenu khsu Uislamu ety Waislamu wana Majini msikae nao karibu wakati tunaona kati ya makanisa na misikiti wapi kuna majini
Nikatalie hayo kma hamfundishwi huko majumbani kwenu
Ni lini Wakristo waliandamana kupinga ujenzi wa Msikiti ?
 
Kwa hakika Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka Sasa watu hatujidai ni waislam Bali tunajidai ni kundi flani aisee
Kwa uelewa wako.
Ila kwa kuwa ulojibiwa ni wewe napaswa kukuelimisha nanukuu swali... (kwa hiyo wewe ni Salafy..?) jibu likaja (ndio)
Labda hujui maana ya Salafy ndio maana unataka uweke tofauti na Uislamu iko hivi.....
NINI MAANA YA SALAF NA YUPI SALAFY?
Neno ﺳﻠﻔﻲ (salaf) linakusudiwa Wema waliopita na Al muhimu ni Wanafunzi na wafuasi wake mtume ﺻﻞ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ yaani SALAFI ni MASAHABA
Mtu wa kwanza kutumia neno SALAFI ni mtume ﺻﻞ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ
alipomwambia mwanae bi Faatima ﺭﺿﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻨﻬﺎ
" ﻓﺎﺗﻘﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻭﺍﺻﺒﺮﻱ ﻓﺎﺀﻧﻪ ﻧﻌﻢ ﺍﻟﺴﻠﻒ ﺍﻧﺎ ﻟﻚ "
"Mche Allah na kuwa na Subra kwani mi ni Bora katika Salafi kwako"
-------------------------
Sahih Bukhaary - Mjeredi wa 8 hadith ya 58885
Neno salafi limetumiwa sana na WANACHUONI kuanzia wa Kale mpaka baadhi wa zama za leo
Mfano IMAM AHMAD Ibn HAMBAL ﺭﺣﻤﻪ ﺍﻟﻠﻪ
IMAM ABU HANIFAH na wengi katika wao.
Salafiyyah (wanaofuata Mafundisho ya mtume kama walivyofahamu masahaba zake) Huitwa pia AHLU HADITH, AL ATHARI, AHLU SUNNAH WAL JAMAA na mfano wake
DAAWA YA SALAFI IMESIMAMIA MISINGI GANI?
Kufuata Aqeedah (ITIKADI) mambo yaliyofungamana na imaan kama Alivyofundisha mtume na ufahamu wa masahaba
Kushikamana na Sunnah vilivyo katika kila Ibaada na kujitenga na Bid'a kbs
Salafiyyah ni watu wanahimiza sana TAWHIID na kukaa mbali kbs na Shirk kwa nguvu zote
Salafiyyah huwaigiza Mtume na masahaba zake tabia zao njema walizoshikana nazo
Manhaj (njia yao Mtume na masahaba)
............................
kwanini mtu afuate Manhaj SALAFI ni kwa sababu zifiatazo
DALILI katika QUR'AN
Allah Jalla wa'ala amesema
ﻓَﺠَﻌَﻠْﻨَﺎﻫُﻢْ ﺳَﻠَﻔًﺎ ﻭَﻣَﺜَﻠًﺎ ﻟِﻠْﺂﺧِﺮِﻳﻦَ
Kisha tukawafanya kuwa watangulizi na mfano kwa wa baadaye...
Az Zukhruf : 56
------------------------------
ﻓَﺈِﻥْ ﺁﻣَﻨُﻮﺍ ﺑِﻤِﺜْﻞِ ﻣَﺎ ﺁﻣَﻨْﺘُﻢْ ﺑِﻪِ ﻓَﻘَﺪِ ﺍﻫْﺘَﺪَﻭْﺍ ۖ ﻭَﺇِﻥْ ﺗَﻮَﻟَّﻮْﺍ ﻓَﺈِﻧَّﻤَﺎ ﻫُﻢْ ﻓِﻲ ﺷِﻘَﺎﻕٍ ۖ ﻓَﺴَﻴَﻜْﻔِﻴﻜَﻪُﻡُ ﺍﻟﻠَّﻪُ ۚ ﻭَﻫُﻮَ ﺍﻟﺴَّﻤِﻴﻊُ ﺍﻟْﻌَﻠِﻴﻢُ
Basi wakiamini kama mnavyo amini nyinyi (Kundi la Masahaba na mtume), itakuwa kweli wameongoka. Na wakikengeuka basi wao wamo katika upinzani tu. Na Mwenyezi Mungu atakutosheni kukukingeni na shari yao, na Yeye ndiye Msikizi, Mjuzi....
Al Baqarah : 137
-----------------------------
KWANINI UFUATE MASAHABA (SALAFI) ufahamu wao kwa kila JAMBO?
dalili katika sunnah
Amesema mtume ﺻﻞ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ
" ﺧﻴﺮ ﺍﻟﻨﺎﺱ ﻗﺮﻧﻲ، ﺛﻢ ﺍﻟﺰﻳﻦ ﻳﻠﻮﻧﻬﻢ، ﺛﻢ ﺍﻟﺰﻳﻦ ﻳﻠﻮﻧﻬﻢ "
"Watu bora kabisa ni Karne yangu (masahaba) kisha wataofuata (tabiin) kisha karne itakayofuata (at'bau Tabiin)
Imepokewa na Bukhaary
---------------------------------
Amesema Mtume ﺻﻞ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ
" ﻭﺍﻧﻪ ﻣﻦ ﻳﻌﺶ ﻣﻨﻜﻢ ﻓﺴﻴﺮ ﻱ ﺍﺧﺘﻼﻓﺎ ﻛﺜﻴﺮﺍ
Yeyote atakayeishi muda mrefu baada yangu ataona Makasoro mengi katika dini hii
ﻓﻌﻠﻴﻜﻢ ﺑﺴﻨﺘﻲ ﻭﺳﻨﺔ ﺍﻟﺨﻠﻔﺎﺀ ﺍﻟﺮﺍﺷﺪﻳﻦ ﺍﻟﻤﻬﺪﻳﻴﻦ
""Shikamaneni na sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa wangu waongofu"
Ameipokea Abu Dawuud na At tirmidhy
 
Daawatu ssalafiya itaenea tu kwa idhni ya Allah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom