Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Naona ungeisoma vizuuuuri post wala usingeandika uliyoandika hivi kakusudia kuzozana au ni matusi ya kumtusi Allah subhanahu wataala pamoja na Mtukufu wa daraja na huko ulikokusudia (RUDUUD) ushawahi kusikia wanatukana mitume naomba utenge muda wako usikilize wanayoyasema tena kwa kuweka chuki pembeni hata mimi binafsi mwanzo nilikuwa nawachukia ila baada ya kukaa na kusikiliza hoja zao Alhamdulillah nimeona usahihi uko wapi
Kwahy wewe ni salafy
 
Wakati iraq na libya zinavamiwa na na kuuawa viongozi wao+innocent people kuna watu wasiojitambua/wenye chuki walikua upande wa marekani/wazungu kwa maana walifurahia mauwaji hayo, ni upumbavu mtupu!! Leo amevamiwa ukraine ambae ni kibaraka wa marekani/wazungu mnalalamika/mnasikitishwa

Hivyo mkaamrishwa na allah mshabikie mauaji anayofanya Putin kisa Marekani alimpiga aliwapiga madikteta Gadaffi na Saddam...
 
We jamaa nahisi fyuzi zako zimechomoka mahala sio bure ww

Sisi kma Waislam tupo mbali na vita kma ivo sasa hpa nani aloshabikia ivo vita

Embu kwanza kapambne na ukame huko kwenu

Tofauti na wafuasi wa dini zingine ambao wako balanced kwenye huu ugomvi wa Ukraine na Urusi, ila kwa waislamu wote ambao nimekuatana nao iwe maofisini, mitaani au humu JF wote wanashabikia Putin na kumpongeza kwa mauaji anayofanya, eti ndio mnadhani anakomoa Marekani.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Hata Biblia imeonya juu ya mabishano na vishawishi!
 
If you call your fellow black men kafir, and expect love from them, is that fair? Acheni kujifanya watakatifu kisa mnatumia majina ya kiarabu, ninyi ni waswahili wenzetu wenye mapokeo tofauti kutoka middle East traditions.
 
mzee wao hawasemi bali wanawabainisha walinganizi waovu na uovu wao kwasababu wanaathiri jamii na hii kazi imeamriwa katika quran unataka tulaaniwe kama wana wa israeli kwa kunyamazia maovu ya wenzao? unataka kufananisha ubainifu wa kielimu na mijadala ya jamiiforums.
Sasa sisi ni wanaisrael?
 
Tofauti na wafuasi wa dini zingine ambao wako balanced kwenye huu ugomvi wa Ukraine na Urusi, ila kwa waislamu wote ambao nimekuatana nao iwe maofisini, mitaani au humu JF wote wanashabikia Putin na kumpongeza kwa mauaji anayofanya, eti ndio mnadhani anakomoa Marekani.
Ushasema uliokutana nao na hata hivyo huwezi kumpangia mtu upande gani ashabikie .

Kijana inaonyesha kabisa dishi limeyumba kabisa haswa unalosema Allah amearimisha ni vyema uweke Qur'an au hadithi maana kutoka humo ndimo tunapopata maamrisho ,makatazo na muongozo mzima katika maisha yetu kama hivi
f2c4b7c8d90b98a2ef5ec31881802714(1).jpg
 
Ushasema uliokutana nao na hata hivyo huwezi kumpangia mtu upande gani ashabikie .

Kijana inaonyesha kabisa dishi limeyumba kabisa haswa unalosema Allah amearimisha ni vyema uweke Qur'an au hadithi maana kutoka humo ndimo tunapopata maamrisho ,makatazo na muongozo mzima katika maisha yetu kama hiviView attachment 2359243

Watu wa dini zingine hawapangiwi, ila nyie sijui uzombi upi huo inabidi mshikiliwe akili hata mambo ya hovyo kama mauaji anayofanya Putin, kwamba hakuna hata mmoja wenu anayediriki kutumia akili yake ajue hata hiyo Ukraine kuna waislamu ambao mabomu ya Putin hayachagui, yanaua wote tu.
Huyo huyo Putin kuna wakati aliwanyoosha waislamu kule Chechnya, leo mnamuabudu kisa mnadhani mnakomoa Marekani.
 
Tofauti na wafuasi wa dini zingine ambao wako balanced kwenye huu ugomvi wa Ukraine na Urusi, ila kwa waislamu wote ambao nimekuatana nao iwe maofisini, mitaani au humu JF wote wanashabikia Putin na kumpongeza kwa mauaji anayofanya, eti ndio mnadhani anakomoa Marekani.
Hiki kitu ni mara ya pili sasa nakuandikia kukikanusha, kukanusha kuwa Waislam wote unaokutana nao humu Jf wanamshabikia Putin. Hili sio kweli. Tupo sie wengine sio mashabiki wa Putin, na tunampinga Putin. Hatuungi mkono dhulma anayoifanya Ukraine.

Ila wakati huo huo hatukubaliani na double standards inayooneshwa katika huu mgogoro. Na hili la double standards hata watu wengi tu ambao hata sio Waislam waliliona. Kuna watu waligundua haraka sana kuwa upazaji wa sauti uliokolezwa kuipinga Russia hasa mwanzoni alipoivamia Ukraine ulisukumwa na u "rangi". Kuna baadhi ya waandishi wa habari walishindwa kujizuia na kusema kuwa linalowatokea Ukraine halistahili kuwatokea na wanaumizwa na yanayowatokea kwao sababu wao "sio nchi inayoendelea ya dunia ya tatu, wao ni Ulaya" na kuwa "wao wanafanana na watu wengine wa Ulaya na Magharibi " au kama walivyosema.

Kama kwamba hayo mambo kuna watu ndio wanastahili yawatokee.

Mwisho kabisa, napinga mno anachofanya Russia pale Ukraine, wala siiungi mkono Russia. Wala siiungi mkono China, tena huwa nawaona Wachina (Makomunisti) ni wabaya zaidi kwa Waislam.

Na kama kuna Muislam anaiunga mkono Urusi kwa kuamini anaupenda Uislam na anautetea, basi Muislam huyo anafanya hivyo kwa ujinga.
 
Watu wa dini zingine hawapangiwi, ila nyie sijui uzombi upi huo inabidi mshikiliwe akili hata mambo ya hovyo kama mauaji anayofanya Putin, kwamba hakuna hata mmoja wenu anayediriki kutumia akili yake ajue hata hiyo Ukraine kuna waislamu ambao mabomu ya Putin hayachagui, yanaua wote tu.
Huyo huyo Putin kuna wakati aliwanyoosha waislamu kule Chechnya, leo mnamuabudu kisa mnadhani mnakomoa Marekani.
Huu ujinga wako ndio ninaoupinga.
 
Hiki kitu ni mara ya pili sasa nakuandikia kukikanusha, kukanusha kuwa Waislam wote unaokutana nao humu Jf wanamshabikia Putin. Hili sio kweli. Tupo sie wengine sio mashabiki wa Putin, na tunampinga Putin. Hatuungi mkono dhulma anayoifanya Ukraine.

Ila wakati huo huo hatukubaliani na double standards inayooneshwa katika huu mgogoro. Na hili la double standards hata watu wengi tu ambao hata sio Waislam waliliona. Kuna watu waligundua haraka sana kuwa upazaji wa sauti uliokolezwa kuipinga Russia hasa mwanzoni alipoivamia Ukraine ulisukumwa na u "rangi". Kuna baadhi ya waandishi wa habari walishindwa kujizuia na kusema kuwa linalowatokea Ukraine halistahili kuwatokea na wanaumizwa na yanayowatokea kwao sababu wao "sio nchi inayoendelea ya dunia ya tatu, wao ni Ulaya" na kuwa "wao wanafanana na watu wengine wa Ulaya na Magharibi " au kama walivyosema.

Kama kwamba hayo mambo kuna watu ndio wanastahili yawatokee.

Mwisho kabisa, napinga mno anachofanya Russia pale Ukraine, wala siiungi mkono Russia. Wala siiungi mkono China, tena huwa nawaona Wachina (Makomunisti) ni wabaya zaidi kwa Waislam.

Na kama kuna Muislam anaiunga mkono Urusi kwa kuamini anaupenda Uislam na anautetea, basi Muislam huyo anafanya hivyo kwa ujinga.

Dini ni matendo ila sio kuandika andika, au hayo mavitabu sijui quran au wapi, tunaangalia kwa mlivyo, sijakutana na muislamu hata mmoja anayethubutu kujiongeza na kutumia akili zake kwenye huu ugomvi wa Ukraine, kwa hivyo hata uandike insha ujaze humu, mimi nafuata ninachokiona na kushuhudia.

Kuanzia maofisini, kwenye mitandao na hata humu, hawa wa humu ni rahisi kujua ni waislamu maana huwa nakumbana nao kwenye mijadala ya kidini.
Ifike muanze kutumia elimu yenu ya shule, au hata hekima, haya mambo ya dini kuna wakati yanaweza kufanya uwe kama zombi, na ndio maana huwa unaona mnajilipua mabomu hovyo bila kueleweka tatizo nini.
 
Huu ujinga wako ndio ninaoupinga.

Ukipinga kwa kutumia akili yako au hekima yako nitakuona mtu wa maana lakini ukijifanya zombi wa kushukiliwa akili kidini ndio utajikuta unajilipua bomu.
 
Wewe mimi nakujua, hivyo sitotumia nguvu nyingi kubishana nawe, najua wewe ni mpinga Uislam mkubwa humu, unajivika vazi la mtoa nasaha mwenye busara hapa lakini kwa tunaokujua hautupi shida sababu katika watu wanaouchukia Uislam humu tena kwa ushabiki mkubwa na bila uadilifu wewe ni miongoni mwao. Hata hivyo lengo langu ni kukuweka sawa na kubainisha kisha nishike zangu njia nikikuacha ukigombana na keyboard yako.
 
Ukipinga kwa kutumia akili yako au hekima yako nitakuona mtu wa maana lakini ukijifanya zombi wa kushukiliwa akili kidini ndio utajikuta unajilipua bomu.
Sina cha kukusaidia kwa kweli. Watafute wenzio mtukanane.
 
Hivi in kweli moh alichumbia mtoto wa miaka sita na akamuoa akiwa na miaka tisa
Au uzushi wa hawa wagalatia wasiopenda dini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom