Ujue Mti chonganishi

Huu mti anaupenda sana niliutafuta niupande home dingi kakataa sikujua kwann ikabidi nipeleke kama zawadi yule niliyosoma nikaupanda hapo paka sasa hiv sijui umefika wapi na miaka saba sijawai kufiki kwenye ile shule tena
Mkuu fuatilia habari ya hiyo shule na matokeo yake kitaaluma,ukute wote wamebaki mazuzu waliosoma hapo
 
Kama upo jiandae kutembelewa na Israel muda wowote
kuna hii kampeni ya kupanda miti dodoma jamaa mmoja akasema huu mti ni mzuri haupukutishi majani hivyo jengo lote la ccm pale Dodoma lizungushiwe huu mti,vip viongozi na makada wengine wa chama wanaotumia hili jengo wanaweza kupass away kimyakimya moja baada ya mwingine
 
A is eee niliipata audio ya huu mti ni mti dume unafukuza wanaume ndani na unaleta mabalaa ndani ya nyumba mf madeni,magonjwa,vifo nk ,mi ninao wa mwenyenyumba hapa nawaza ntamwambiaje aelewe au niuwekee mafuta ya taa unyauke aseme tu situnzi nyumba take, maana madeni yananinyoosha walai
 
Umalize kisirisiri
 
Miaka ya 2001 hivi kuna mzee alikuja kwetu na kutuambia hiyo miti ni mibaya hatuku elewa kuna ukweli hapo badugu
 
Mkuu hii miti ninayo kwenye makazi nayoishi na inasemekana inaleta sana mikosi sijui kama dhana hii ni kweli,na pia hata kwa mkaa wake huwa sio mzuri.Nikipata muda nitapiga picha yaani mi mikubwa hatari
Kwa sehemu kubwa haina shida na wapangaji kwakuwa hapo si kwako na mpandaji sio wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom