Ni kweli mkuuWengine wanamaliza pesa kwa waganga na kuingia maagano mabaya kumbe tatizo haliko mbali
mkuuu tafadhali nihurumie bhana nilikuwa natania kweli eti[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ijumaa njoo msata
Kaka Mshana Jnr!!!Hebu tujadili kwa mtazamo wa kiroho kwenye hili kwakuwa huo mwingine unajulikana
duuuuh wewe sio wa kisport sport ati[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
`Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.
Poleni sanaNaamini 100% ulicho kieleza hapo juu mkuu,mengi uliyo yasema still ninayapitia,
[emoji120]Poleni sana