Ujue msikiti uliojengwa na majini

Ujue msikiti uliojengwa na majini

Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija

Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"

Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.

#halisimediatzView attachment 3295432
IMG_20250408_004821.jpg

Jini fundibomba akiwa na wrench spanner tayari kufix mabomba msikitini
 
Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija

Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"

Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.

#halisimediatzView attachment 3295432
Mudi boy again
 
Shekhe kipoozeo naye alikuwa na clip yake ya msikiti wa majini
Ukimsikiliza lazima ucheke eti yeye alisalimiana kabisa na jini

Na kwa uduwanzi alishindwa walau hata kuchukua picha mnato ya huyo jini kwa kutumia ile simu yake.
 
Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija

Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"

Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.

#halisimediatzView attachment 3295432
Du kwahiyo kila aingiaye anapata kitu
 
Brother acha hadithi za kusadikika.
Wajini wana urefu gani, wafupi kama binadamu?
 
Kwa akili hizi za kuamini vitu vya kusadikikia.. CCM itatutawala kwa miaka mingi ijayo. Bure kabisa
 
Mengi yalikufa na machache yaliyobaki yalitapeliwa na binadamu na mengine yalifilisika😂
😀😀😀 maana nimekuwa nikitamani nikutane nao lakini waapi🙆‍♀️
 
Back
Top Bottom