Wiseman Tz
Member
- Mar 27, 2024
- 36
- 79
Kwahiyo wanaoswali humo ni majini au
Baada ya tech kukua majini yanazidi kupotea, majini yale ya Z Anto siku hizi hayapo kabisaHivi wale majini handsome man na wale wadada uzuri wake mfano hakuna alafu wanakuhonga hela unaamka tu unazikuta chini ya mto, wana mapenzi ya kweli hadi unachanganyikiwa waliisha? Maana huyo hapo pichani kama ni jini sa ndio jini gani huyo Mshana Jr
kwa hiyo wakandarasi na washauri ni majini. Walipata wapi vifaa vya ujenzi?Hakuna ukweli wowote hapo, yaani majini ndiyo yamejenga msikiti wa hovyo hivyo? Yalipitia Veta kweli?
Nini kinakufanya uone ni story ya kweli?Hii ni story ya kweli kabisa
Hapana; huo msikiti kama upo kweli, bas aliyeujenga ni fundi Maiko.kwa hiyo wakandarasi na washauri ni majini.
Kwenye maHardwares hapo mjini kwa mtindo wa chuma ulete.Walipata wapi vifaa vya ujenzi?
Dah! Nilijuaga kwamba majini ni maarufu kwa utajiri, ubabe n.k. kumbe wamepinda hivyo?Sio huo peke yake, ipo na mingine kwenye nchi nyingine, nje ya Africa
Apewe muwekezajiSerikali ikaubomoe, umejengwa kwenye eneo la fukwe 🤣🤣🤣🤣
Yalikuja kuiba kiwandani Wazo..1. Majini yalipata wapi saruji?
Dah! Nilijuaga kwamba majini ni maarufu kwa utajiri, ubabe n.k. kumbe wamepinda hivyo?Sio huo peke yake, ipo na mingine kwenye nchi nyingine, nje ya Africa
Yeah. Huku walikuja kujidhalilisha tu bure.Kumbe na wenyewe wana kwa Mtogole, Fundi Maiko, yaani ni masikini kiasi hicho?
Wangeachana na kujenga majengo yanayoonekana, waendelee tu kuishi kusikojulikana.
Hakuna mwenye akili timamu atakayewekeza mali yake halali kwenye hiyo takataka hapo.Apewe muwekezaji
Exactly True. Chukua tahadhari kubwa.Neno lolote.linqlotoka kinywani kwa kobazi usiliamini
We mzee tunakuheshimu humu JF acha kuleta stori za kitoto unajivunjia heshima yako kwa mikono yako mwenyewe.Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija
Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"
Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.
#halisimediatzView attachment 3295432
Tena hauna viashiria vya msikiti e.g. Tao, mwezi na nyota yake, jina la msikiti nalo lina utata.Hao Majini itakua walikua wanasoma VETA la 10, mbona msikiti wa kifala hivyo.
Hapo ujue Jamaa wa Allah' akbar walipiga hesabu za namna ya kujimilikisha pagale hilo. - wakaja na gia hiyo.Kwanza Raia walijuaje ni msikiti huu uongo wa Kiislam umevuka mipaka kwahiyo hata barabara za mchina zinazojengwa usiku Mashekhe wanadai ni Majini😂🚮