Ana hoja asikilizwe. Apewe nafasi ya kuitetea hoja yake akizingatia kwamba Ushahidi wa KUSIKIA haunaga mashiko huko Mahakamani.We mzee tunakuheshimu humu JF acha kuleta stori za kitoto unajivunjia heshima yako kwa mikono yako mwenyewe.

Uganga umekushinda sasa umeanza kutuletea story za sunguraUnaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija
Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"
Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.
#halisimediatzView attachment 3295432
Kumbe Mwamposa anakosea sn kuwaombea na kukemea Waislamu wenye majini wanaokwenda kwake kufanyiwa maombi ! kumbe wale ni ndugu zao mpaka wanaolewana wake, usishangae Shekhe akikuambia ana "Mke Jini"Hiyo dini kuna chochote kisicho Cha majini na mauganga na maushetani
Si nasikiaga eti majini yanaweza kujichakachua yenyewe kimaumbile e.g. saivi ni umbile la mtu baadaye niumbile la paka, nyoka n.k.?Majini hayajui kujenga,ujenzi duni kabisa wa msikiti,majini yamechakachua material
HAKUNAA.Hiyo dini kuna chochote kisicho Cha majini na mauganga na maushetani
Kwa hiyo kila kiumbe kisichoonekana ni jini?Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija
Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"
Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.
#halisimediatzView attachment 3295432
Eti ni watu wanasema huku wakiuelekeza kidole jengo hilo.Ni kipi kinachoonesha ni msikiti
Wacha hizoWe mzee tunakuheshimu humu JF acha kuleta stori za kitoto unajivunjia heshima yako kwa mikono yako mwenyewe.
Uganga umekushinda sasa umeanza kutuletea story za sungura
Mbona li msikiti libaya hivyo? Majini haya designers wazuri?Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija
Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"
Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.
#halisimediatzView attachment 3295432
Umewahi muona Mungu?Lakini kwakuwa binadamu ni mfano wa Mungu
Binadamu ni mfano wa Mungu.Umewahi muona Mungu?
Uongo ni dhambi.Binadamu ni mfano wa Mungu.
Story za abunuasi izoInawezekana hiyo design ndio bora kuliko za kwetu sisi who knows?
Lakini kwakuwa binadamu ni mfano wa Mungu na viumbe wengine hawana ufanano na Mungu kama binadamu.
Basi naamini kabisa design za binadamu ni bora zaidi ya hao viumbe.