Ujue msikiti uliojengwa na majini

Ujue msikiti uliojengwa na majini

Wacha hizo

Maneno hayo yalithibitishwa na Shehe wenu tena ni Dr.
Dr. Sule.
Naskia hata Saudi Arabia upo mwingine uliojengwa na hao viumbe:
Na leo kathibitisha Mganga mwenyewe:

Dr. Sule alisema hao waliojenga huo Msikiti ni wale Majini wema: yaani Waislamu:
Amaa! Hivi kumbe Waislamu ni Majini
Wewe huna mamlaka ya kumbishia Shehe Dr. Sule:
Mtafute U Tube; utamsikia kwa masikio yako.
Dr. Sule ndo boss wao majini?
 
Dhambi umewahi kuiona?
JamiiForums-2066617636_111746.jpeg
 
Hakuna mwenye akili timamu atakayewekeza mali yake halali kwenye hiyo takataka hapo.
Hapo unawekeza eneo sio msikiti wa majini....kwani tajiri anavonunua eneo lina majengo huwa ana shida na yale majengo?
 
Hapo unawekeza eneo sio msikiti wa majini....kwani tajiri anavonunua eneo lina majengo huwa ana shida na yale majengo?
Tajiri Mwekezaji hana shida na majengo LAKINI Walio jenga i.e. wenye jengo lao (Majini) watamsumbua sana. Bora mwekezaji aghairi atafute eneo lingine.
 
Vipi kama huo msikiti ungejengwa bara huko mf shinyanga?

Watu wangesema ni majini? Au wangesema ni uchawi?
Wangetumia akili na muda kumtafuta mjenzi na sio kusingizia eti ni majini ilhali wanajua majini hayapo. Wachawi wa pande hizo hawanaga interest na mamisikiti kwani hayana Tija kwao.
 
Tena hauna viashiria vya msikiti e.g. Tao, mwezi na nyota yake, jina la msikiti nalo lina utata.

Hapo ujue Jamaa wa Allah' akbar walipiga hesabu za namna ya kujimilikisha pagale hilo. - wakaja na gia hiyo.
Wanajua wafuasu wao ni vilaza wataamin na wasioamin watapigwa mawe😂
 
Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija

Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"

Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.

#halisimediatzView attachment 3295432
Majini hayana uwezo wa.kujenga bila kuwatumia binadamu
 
Hivi wale majini handsome man na wale wadada uzuri wake mfano hakuna alafu wanakuhonga hela unaamka tu unazikuta chini ya mto, wana mapenzi ya kweli hadi unachanganyikiwa waliisha? Maana huyo hapo pichani kama ni jini sa ndio jini gani huyo Mshana Jr
Mengi yalikufa na machache yaliyobaki yalitapeliwa na binadamu na mengine yalifilisika😂
 
Back
Top Bottom