Ujue msikiti uliojengwa na majini

Ujue msikiti uliojengwa na majini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,471
Reaction score
829,870
Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija

Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini"

Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua ya Msingi na Kila siku Baada ya siku zilipokuwa zikibadilika Wananchi wa eneo Hilo waliuona Msikiti Huu ukizidi kupanda Juu Bila kuona nani anaujenga.

#halisimediatz
FB_IMG_1743985608655.jpg
 
#halisimediatzView attachment 3295432
mbona jini leusi nikajua litakualiarabu
 
1. Majini yalipata wapi saruji?
😉
 
Huyo aliyesimama hapo ndiye architecture wao?
 
sio Majini .Ulijengwa na Malaika kaka
 
Hivi wale majini handsome man na wale wadada uzuri wake mfano hakuna alafu wanakuhonga hela unaamka tu unazikuta chini ya mto, wana mapenzi ya kweli hadi unachanganyikiwa waliisha? Maana huyo hapo pichani kama ni jini sa ndio jini gani huyo Mshana Jr
 
Sio huo peke yake, ipo na mingine kwenye nchi nyingine, nje ya Africa
Baadhi ya majini wanajitahidi sana kusali na kuomba msamaha ili waje kupata msamaha wa Mungu.
Naamini ipo tofauti kubwa kati ya Majini na Pepo wabaya...japo sijafuatilia elimu hiyo vizuri....
 
Back
Top Bottom