Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha

Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha

images
 
pict125.jpg


pict127.jpg
U.S. Secret Service men and other security detail await the arrival of U.S. President Barack Obama on the golf driving range at the Deerhurst Resort in Huntsville, Ontario, for the G8 Summit, June 25, 2010.

pict142.jpg


images



images


 
  • Thanks
Reactions: Paw
Naomba kujua nafasi ya walinzi wa tanzania wakati wa kumlinda Obama.
Je wataaminiwa kumsogelea? umbali wao kutoka Obama na walinzi wake utakuaje?
 
hivi bongo kunani...mbona viongozi hawa wakubwa duniani wanakuja kwa fujo sana... kunani?
 
Duuuuuuh!kama movie vile!hapo ukiangalia vizuri unaweza ukamuona Nikita,jack bouer, rambo! Kudadek yan nimeangalia hizi picha nimehis kama nachek series hivi!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hawa ni walinzi wa Kikwete wakionyesha ukakamavu na kuandaa mazingira mazuri na salama ya Prezdaa kutua.

MGAMBO1.jpg


mgambo2.JPG

LMAO
 
kaazi kwelikweli,cjui watatuzimia mitambo ya mawasiliano tena kama kipind kile cha Bush
 
ulinzi wao unaendana na uchumi wa nchi yao kwa tanzania ukifanya hayo wafanyakazi wengine hawatachukua mishahara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom