Machingafx
Member
- Sep 25, 2026
- 88
- 100
ivi hili sakata la ujio wa EL nino limekaaje?? Maana wizara ilitangaza ni kuanzia mwezi wa 9
Na ushapita na amna mvua yoyote..... nyingi zinazonyesha ni rasha rasha tu...
Hii imekaaje?? EL NINO. Ipo kweli?? Ni propaganda za kiselekali na siasa zao za maji taka.....
Weka maoni yako apo chini 👇👇👇 tunajadili🙏🙏