Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha

hawatasogea hata kidogo... wasikia watu 700 wanakuja, hii wanachukua hotel nzima, wenye hotel wote wanaagenda likizo ...

Mkuu kwan protoko za ulinzi kwa viongozi zikoje?

navyojua mim suala la ulinzi kwa kiongozi yoyote linaratibiwa na walinzi wa eneo husika analotembelea! Mf. Ujio wa Obama walinzi wetu watakuwa front zaid kama ma instructor kwa walinzi wa Obama. Hata bodygurds atakao kuja nao watabadilisha waweke wakibongo wakishafika hapa!

ni taratibu za kiusalama kila mahali dunian ili kuweza kurahisisha communication na kuarrange any movement za huyo kiongozi.

Kwahyo mkuu lazma wanausalama wetu wawe mstari wa mbele kuhakikisha ulinzi wa Obama! Hao wanakuja kuongeza support tu ya ulinzi ila watakuwa wanafata protoko za ulinzi za bongo.

Rais wetu anapokuwa nje hana ulinzi na troops kubwa kama hyo kwasababu anaenda nchi zilizopiga hatua kubwa ki intelijensia na defencing so anapewa ulinzi na askari wa nchi anazotembelea as bodygurd pia anapewa wa nchi nyingne. Mtu asiebadilishwa kwenye ziara na anaekuwa karibu na kiongozi ni ADC pekee!
 
Naomba kujua nafasi ya walinzi wa tanzania wakati wa kumlinda Obama.
Je wataaminiwa kumsogelea? umbali wao kutoka Obama na walinzi wake utakuaje?

Wao kazi yao ni kuwatoa machinga..mama ntilie!!! Umbali kutoka alipo obama ni 1km maana hawana hadhi ya kumlinda jamaa!!!
 
Mkuu kwan protoko za ulinzi kwa viongozi zikoje?

navyojua mim suala la ulinzi kwa kiongozi yoyote linaratibiwa na walinzi wa eneo husika analotembelea! Mf. Ujio wa Obama walinzi wetu watakuwa front zaid kama ma instructor kwa walinzi wa Obama. Hata bodygurds atakao kuja nao watabadilisha waweke wakibongo wakishafika hapa!

ni taratibu za kiusalama kila mahali dunian ili kuweza kurahisisha communication na kuarrange any movement za huyo kiongozi.

Kwahyo mkuu lazma wanausalama wetu wawe mstari wa mbele kuhakikisha ulinzi wa Obama! Hao wanakuja kuongeza support tu ya ulinzi ila watakuwa wanafata protoko za ulinzi za bongo.

Rais wetu anapokuwa nje hana ulinzi na troops kubwa kama hyo kwasababu anaenda nchi zilizopiga hatua kubwa ki intelijensia na defencing so anapewa ulinzi na askari wa nchi anazotembelea as bodygurd pia anapewa wa nchi nyingne. Mtu asiebadilishwa kwenye ziara na anaekuwa karibu na kiongozi ni ADC pekee!
si dhani hii kama ina apply kwa marais wa marekani...
 
Hivi huwa akienda Out ulinzi unakuwa mkubwa namna hiyo?
Kuna maisha mengine magumu sana ,,wengine tukiamka huwazi kama nahitaji ulinzi wewe ni kujichanganya tu mala uwanja wa Fisi ukikatizi Kariakoo..ukipenyenyeza mitaa ya uswahilini
Raha duniani

he he he he he he he he he he he he he ndo utamu wa kuwa mtu wa uswahilini sasa.......
 
Back
Top Bottom