Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha

Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
679
  1. pict52.jpg


      1. whblog_0310.jpg













    1306334084-security-for-obamas-london-state-visit-_703719.jpg



    whblog_0310.jpg




 
US security department officials stand near their vehicles outside the Taj Mahal Palace hotel in Mumbai this afternoon
gty_secret_service_plane_nt_120427_wg.jpg
 
PHP:
[CODE][/CODE]
sisi wengine tunalindwa na mungu


Ndugu umenifurahisha sana leo! utafikiri nakuona unavyotoa hiyo sauti ya kinyonge iliyojaa imani kwa mwenyezi mungu wetu, nikweli kabisa, maisha ya ulinzi ya hivyo du nayo nitabu tupu.
 
Nimefurahishwa zaidi na hii:
article-1326962-0BEECD9A000005DC-562_634x219.jpg


Kweli kabisa kuwa rais wa America ni ishu sana!..kwa mara nyingine namvulia kofia Obama!
 
Hapa imekaaje?
Je Obama ndio anacheza ngoma ya kikwao nini?
Au je akicheza ni lazima pia walinzi wake wacheze?
2rx6znn.jpg
 
Pamoja na ulinzi woote huo Mungu akiamua atoweke ni kugusa tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom